Namtafuta JOHN tulipanda bus la Upendo kutoka Dar es salaam 2008 yeye alishukia Iringa

Je, umefikiria pia kuwa kama huyo John bado yupo kwenye planet earth? Kama bado yupo hai, basi ujue yawezekana wakati wewe unabadirisha NO kuwa YES, na yeye anabadirisha YES kuwa NO baada ya kupata YES sehemu nyingine. Huyo mtoto hakuwa na mama?
badilisha
 
Habarini wapendwa, namtafuta kaka yangu wa hiari tulikutana kwenye bus linalotoka dar es salaam kwenda mbeya ilikuwa mwaka 2008 mwez wa 3 kwenda wa 4 kama sijasahau

Nakuomba kama upo humu JF niambie sababu nilibadirisha No, na wakati unasafiri ulisafiri na mtoto wako mdogo alikuwa na miezi ulikuwa unampeleka kwa bibi yake Iringa, baada ya kukutwa na matatizo ofisini na ktk familia
Mtoto atakuwa na miaka 9 kwa sasa,
Ulisoma kantalamba kama sijasahau jina la shule n
Msiniulize john nani sababu sijui ni jina la ubin wa baba yake

Kama upo huku naomba uniambie. Kuna vitu vingine nimeacha sababu binafsi ili nijue kama ni wewe nitakapo kuuliza maswali

Asanteni
Heaven Sent
Dada divine nime Ku pm
 
alikupa mgegedo wa one night stand leo umemkumbuka kila la kheri ukimkosa njoo kwangu
 
hivi yule Faru John si alikufa?? nahisi ndo maana kuna waziri mmoja alitumbuliwa kwa ajili yake
 
Habarini wapendwa, namtafuta kaka yangu wa hiari tulikutana kwenye bus linalotoka dar es salaam kwenda mbeya ilikuwa mwaka 2008 mwez wa 3 kwenda wa 4 kama sijasahau

Nakuomba kama upo humu JF niambie sababu nilibadirisha No, na wakati unasafiri ulisafiri na mtoto wako mdogo alikuwa na miezi ulikuwa unampeleka kwa bibi yake Iringa, baada ya kukutwa na matatizo ofisini na ktk familia
Mtoto atakuwa na miaka 9 kwa sasa,
Ulisoma kantalamba kama sijasahau jina la shule n
Msiniulize john nani sababu sijui ni jina la ubin wa baba yake

Kama upo huku naomba uniambie. Kuna vitu vingine nimeacha sababu binafsi ili nijue kama ni wewe nitakapo kuuliza maswali

Asanteni
Heaven Sent
vipi ulimpata?
 
Back
Top Bottom