Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,007
- 100,212
Sasa unakata tamaa ,jieleze wewe nani km vipi kisha utafutwe wewe
MTC | 101| [emoji769]
Sasa unakata tamaa ,jieleze wewe nani km vipi kisha utafutwe wewe
Hivi akitumia NIDA kumsearch km anatafuta namba ya usajiri ,si atampata? Ila majina hayo huwa mengiNenda NIDA watakuwa na taarifa zake.
Shauri yao ikitokea baaasi sitakua na namna hayo yapo maana tumekutana watu tofauti kutoka malezi tofautiHata humu MMU.hahaha kama nimeona unaandika unajua kugegeda natafuta taarifa zako nazinunua nakitafuta live hahahah
Atampata wale wana picha,fingerprints nkHivi akitumia NIDA kumsearch km anatafuta namba ya usajiri ,si atampata? Ila majina hayo huwa mengi
MTC | 101| [emoji769]
Kwanza namtaftaje kupitia NIDA?Hivi akitumia NIDA kumsearch km anatafuta namba ya usajiri ,si atampata? Ila majina hayo huwa mengi
MTC | 101| [emoji769]
Aje pm km yupo[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]Sasa unakata tamaa ,jieleze wewe nani km vipi kisha utafutwe wewe
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha hili ndilo ulilisahau sasa
Are you sure..??Si unajua mods hawatoi taarifa ya mtu humu hata kwa mtutu...so njia pekee ni kutumia wadau humu humu
naishi pia mbagala mwanamtoti nitajaribu kuuliza wana maskani!Habari zenu
Nahitaji msaada wenu km kuna mtu anamfahamu huyo mtu amesoma Azania O level, A level Pugu (PCM) then akaenda UDSM kusoma Engineering (sijui aina gani ya injinia)alimaliza 2009 akaajiriwa Tanga kama sikosei. Alikua anakaa mbagala mwanamtoti Mwenye kumfahamu anisadie tafadhali au yeyote Mwenye taarifa zake anisaidie tafadhali.
NB Mimi siko Facebook maana mtasema niende Facebook.
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh huyu jamaa nafahamu alipokuwa anaishi pale mwanamtoti, jamaa mtaratibu alipenda sana kujisomea alikuwa nje ya nchi na kama sikosei ni mmakonde nitafuatilia then nitakupa mrejesho!Habari zenu
Nahitaji msaada wenu km kuna mtu anamfahamu huyo mtu amesoma Azania O level, A level Pugu (PCM) then akaenda UDSM kusoma Engineering (sijui aina gani ya injinia)alimaliza 2009 akaajiriwa Tanga kama sikosei. Alikua anakaa mbagala mwanamtoti Mwenye kumfahamu anisadie tafadhali au yeyote Mwenye taarifa zake anisaidie tafadhali.
NB Mimi siko Facebook maana mtasema niende Facebook.
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisaa Ahsante sana we unamjua kweli Ni mtaratibu na Ni mmakonde piaOh huyu jamaa nafahamu alipokuwa anaishi pale mwanamtoti, jamaa mtaratibu alipenda sana kujisomea alikuwa nje ya nchi na kama sikosei ni mmakonde nitafuatilia then nitakupa mrejesho!
Ntashukuru sana rafikinaishi pia mbagala mwanamtoti nitajaribu kuuliza wana maskani!
Hahaaaaa kweli tenaHahahaha hili ndilo ulilisahau sasa
MTC | 101| [emoji769]
Naweza sema ndio kwa sababu ya wanaharakati walioko humu
Huyu jamaa atakuwa muhujumu uchumi pia, ndio maana mnagwaya kusema chochote.Hussein Abbas Ibrahim!!.. ngoja tu ninyamaze!
Hadi hapo kashauzwa huyo mshikajiHuyu jamaa atakuwa muhujumu uchumi pia, ndio maana mnagwaya kusema chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hutaki Urafiki na mimi!??