Namtafuta Hussein Abbas Ibrahim

Namtafuta Hussein Abbas Ibrahim

Kwa kifupi hayuko mikono salama ya dola, ilikuwa kama mzaha mwasiliano yalipotea oktoba, nikajua labda ametoka nje ya nchi, lkn muda ukawa unayoyoma bila kumpata hewani, ndipo majuxi nikafanya juhudi za ziada kumtafuta, duuuh jamaa anateswa na dola balaa.
Tuendelee kujifariji kuwa tuko salama lkn...nina mengi ya kusema acha tu nifunge mdomo

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole

Duh pole sana mkuu! Na hizi I'd zetu feki hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma post yangu nimeanfika kuwa nitamshawishi ajiunge kama hajajiunga jf ili wachekiane jf.
Hali ya nchi ilivyo usithubutu kuuza taarifa za mtu.
Nina rafiki yangu wa maana anateseka muda huu kwa ajili ya watu kuuza taarifa zake toka jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki yako ni muhujumu uchumi ndio maana amekamatwa kimya kimya,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom