Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,007
- 100,212
Hahahaha, aseeMzee baba chuma legeza vyuma ma ex wanatafutwa walionyea kambi wanataka kurudi kambini mambo yamekuwa magumu pole Sana
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, aseeMzee baba chuma legeza vyuma ma ex wanatafutwa walionyea kambi wanataka kurudi kambini mambo yamekuwa magumu pole Sana
Ningejuaa?
Hakuna zaidi ya [emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji389] na [emoji183][emoji183][emoji183][emoji183]
Anyway karibu geto
Hahahaha, JF bana
Ongeza sautiUsimuamini mtu humu,japo kuna mmoja nilimuamini humu sijui nilirogwa na nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu tu na kutojiamini Mimi mbona nina marafiki wengi tunao fahamiana Mara kwa maraOngeza sauti
USIMWAMINI MTU HUMU
Karaha ni zipi hizo!
Km unamjua nisaidie Niko serious ujue halafu sio kwa nia mbaya mweeHussein Abbas Ibrahim!!.. ngoja tu ninyamaze!
Ongeza sauti
USIMWAMINI MTU HUMU
Mimi pia ninaoWivu tu na kutojiamini Mimi mbona nina marafiki wengi tunao fahamiana Mara kwa mara
Hahahaha ,asee, hope utampata umtafutaye km mdau kasema anamjua hkn shaka
Ila usiamini hivyo
VoiceBy uhuru Kenyatta in kenya
Si unajua mods hawatoi taarifa ya mtu humu hata kwa mtutu...so njia pekee ni kutumia wadau humu humuBy uhuru Kenyatta in kenya
Mmmhh!sijui kwa kweliHahahaha ,asee, hope utampata umtafutaye km mdau kasema anamjua hkn shaka
MTC | 101| [emoji769]
Hayo yapo kila kona km kuuza wauze Tu!!siko siasani kivileeeIla usiamini hivyo
Ni rahisi sana kuuzwa taarifa humu..anachoongea huyo jamaa hapo juu ni kweli kabisa
KweliSi unajua mods hawatoi taarifa ya mtu humu hata kwa mtutu...so njia pekee ni kutumia wadau humu humu
Hata humu MMU.hahaha kama nimeona unaandika unajua kugegeda natafuta taarifa zako nazinunua nakitafuta live hahahah
Nenda NIDA watakuwa na taarifa zake.Habari zenu
Nahitaji msaada wenu km kuna mtu anamfahamu huyo mtu amesoma Azania O level, A level Pugu (PCM) then akaenda UDSM kusoma Engineering (sijui aina gani ya injinia)alimaliza 2009 akaajiriwa Tanga kama sikosei. Alikua anakaa mbagala mwanamtoti Mwenye kumfahamu anisadie tafadhali au yeyote Mwenye taarifa zake anisaidie tafadhali.
NB Mimi siko Facebook maana mtasema niende Facebook.
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana halisi ya pmSi unajua mods hawatoi taarifa ya mtu humu hata kwa mtutu...so njia pekee ni kutumia wadau humu humu