namtafuta GRACE JOACHIM

anipigie 0712505049
 
Namtafuta ADIUNI KULUNGE, alisoma PCB Pale Benjamini Wiliam Mkapa High School 2000/2002. O LEVAL alisomea Jangwani Sec S, na alilkuwa anakaa BUGURUNI.

Nilipata tetesi kuwa kwasasa ni CLINICAL OFFICER,

ila sijabahatika kujua anapofanyia kazi. Tafadhali anayemjua au mwenye no zake za simu ani-PM
 
Amesha olewa na mkurya
 
namtafuta selemani mwinyimtama mara ya mwisho alikuwa akiishi majengo moshi....sijui akatimkia wapi....nifahamisheni...
 
Grace Joachim yupo kempisk hotel, nimfanyakazi wa hapo, nilikuwa na namba yake lakini nadhani nimeipoteza,

Mwezi wasita mwaka jana alikuwa Dubai na sasa yupo hapa dar kwenye hiyo hoteli, nenda mapokezi waambie wakuitie atakuja tu.
 
Vipi mmefanikiwa kuwapata hao mnaowatafuta? Wengine ni marehemu. Nyie endeleeni tu kuwatafuta.
 
namtafuta Daudi balali, mara ya mwisho aliiba hela za wavuja jasho wa INJI HII, nijulisheni popote alipo
 
Namtafuta Merry Nyembela. Kwa mara yamwisho tumeachana Dodoma akiwa form six Msalato Girls mwaka 2006. Mwenye no yake au anayefahamu alipo ani pm
 
Namtafuta MAPAFU. Siku hizi nimeambiwa amekuwa mtu wa IT. Mara ya mwisho tuliachana IFM
 
Hapo kwenye red nenda Nyaishoiza mbele ya Tegeta utamkuta ulizia Nyaishozi kwa dr.Ngarinda
 
Grace Joachim yupo kempisk hotel, nimfanyakazi wa hapo, nilikuwa na namba yake lakini nadhani nimeipoteza,

Mwezi wasita mwaka jana alikuwa Dubai na sasa yupo hapa dar kwenye hiyo hoteli, nenda mapokezi waambie wakuitie atakuja tu.

yukoje nisije nikamtafuta m2 siye
 
Namtafuta mbunge wangu, mara ya mwisho kumuona jimboni kwetu miaka miwili iliyo pita. Atakaye muona amwambie atutembelee wanachi tumueleze matatizo ya tarafa yetu
 
Namtafuta Maria Mbeghalo. Kwa mara ya mwisho tuliachana Iringa 2002
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…