Namtafuta Fridah Evansi

Namtafuta Fridah Evansi

Ameolewa na jamaa moja yupo TISS. Sasa kama uitaji viungo vya mwili wako. We endelea tu kumtafuta.

Sina tabia hiyo ndugu, nimeokoka ni mme wa mke mmoja mtoto mmoja sawa? Hao wang'oa kucha na meno ndo unawaogopa? Mbona pia ni binadamu kama wewe. Haya nawe angalia usijepigwa kichwani na kitu kizito chenye ncha kali. Hapo vp?
 
Namtafuta Lilian Abraham. Nilisoma naye primary huko Rombo, tulipomaliza la saba yeye alienda kusoma mkuu day sec school.
 
Sijafurahishwa na hiki kitu cha kuposti details hizi hapa, heri hata ungeenda kwa PM umpatie....

Hizi sredi za watu kutafutwa halafu na hizi ID zetu feki, kuna siku watu watakuja kulia.
Sio wote wenye nia njema!
 
Hizi sredi za watu kutafutwa halafu na hizi ID zetu feki, kuna siku watu watakuja kulia.
Sio wote wenye nia njema!

Binafsi sna nia mbaya alikuwa ni mtu wangu wa karibu saana.
 
Sio huyu mkuu?
AAAAAElFTkSuQmCC

duh!...we jembe
 
Mie namtafuta Pius Kalekela,
mara ya mwisho tuliachana njia panda Segera wakati tunatokea Lushoto.
Yeye alishuka pale Segera na akaelekea Tanga nami nikaja Dar.
Kama upo humu JF, tambua Nakupenda na pia nakutafuta.

Hehehehe kimenuka , duh na wewe tena Madame B ..........................!:nono:
 
Namtafuta Philipo Mulugo mara ya mwisho tulifundisha wote Sekondar ya Southern Highlands Mbeya
 
Back
Top Bottom