Namtafuta Fridah Evansi

Namtafuta Fridah Evansi

Mi namtafuta Anuciata Mlay, mara ya mwisho tumekutana kwenye mahafali Korogwe TTC mwaka jana.
 
ukweli mchungu hata mimi nilipoelezwa hivyo niliporomosha matusi zaidi yako

We jamaa nilikuonya juu ya kauli yako huyo binti niliyekuwa namtafuta tayari nimeshampata yuko Dodoma sasa hiyo Buguruni ni ya Dom au hakika ulisema uwongo kama Mungu aishivyo ukiumaliza huu mwaka ukiwa hai basi utakuwa hoi sana kama mi muongo weka record na hata hapa jamvini watathibitisha haya kuanzia leo 04 April 13, daima Mungu huchukizwa na dhambi.
 
Back
Top Bottom