nenda buguruni sewa anajiuza baada ya kuhaangaika sana kutafuta ajira
Acha dhihaka hakika hili ulilolisema kama ni uwongo litakugharimu na utalitolea hesabu kuanzia hapa duniani mpaka utakapoonja mauti na hukumu ya mwisho usipokuwa makini hii kauli yako ndo itakuondoa duniani uwenda hata huu mwaka usiumalize, kama unabisha dhihaki kama Mungu aishivyo utaona.
Mie namtafuta Pius Kalekela,
mara ya mwisho tuliachana njia panda Segera wakati tunatokea Lushoto.
Yeye alishuka pale Segera na akaelekea Tanga nami nikaja Dar.
Kama upo humu JF, tambua Nakupenda na pia nakutafuta.