Mh msije mkammwagia tindikali bure kama mnafahamiana si uweke no yako ya simu na email yako au m PM utoe maelekezo,siku hizi hali ya hewa imechauka kaka,au umeshahau hata mwenyekiti wa CCM aliwahi kusema kuwa watu hawamiani hata maji hawaachi hutembea nayo ,sembuse iwe watu wa humu JF.