chinatown
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,232
- 1,107
Wana Jf,
Kuna dada ameonekana uchumi supermarket quality centre nina ujumbe wake muhimu sana nadhani anamiliki gari 'nadia ' maroon number T688 BVN naomba mwenye kumfahamu yeye au hii gari please ni pm ni muhimu kwake sana ameonekana leo tarehe 16/11/2015 jioni mida ya 12 mpaka saa 1 usiku akiwa amevalia suti ya darkblue au nyeusi na wigi.