iyengamuliro
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 819
- 366
Kwanini mufikirie maovu,je kama alimuona na tapeli na anataka amsaidie?
Huenda alisahau kitu muhim sana na huyu bwana anamtafuta ili ampatie.
Kwanini mufikirie maovu,je kama alimuona na tapeli na anataka amsaidie?
Kijana chunga adabu yako, usione vinang'aa juwa vimegharamiwa. TEna koma kabsa nahiyo namba delete kichwani kwako kabisa. Na nisikie tena unamfatafata utanitambua mimi ni nani, nishajua unaposti ukiwa maeneo gani. subiri dakika 20 nakuja hapo ulipo.Wana Jf,
Kuna dada ameonekana uchumi supermarket quality centre nina ujumbe wake muhimu sana nadhani anamiliki gari 'nadia ' maroon number T688 BVN naomba mwenye kumfahamu yeye au hii gari please ni pm ni muhimu kwake sana ameonekana leo tarehe 16/11/2015 jioni mida ya 12 mpaka saa 1 usiku akiwa amevalia suti ya darkblue au nyeusi na wigi.