Namtafuta bwana agostino kibi..!!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
Nimepoteana na ndg yangu agostino kibi mwenyeji wa Bukoba Kagera toka mwaka 1981.
aliemuona au anaemfahamu au kumsikia naomba anisaidie kunijulisha Tafadhari!!Mara ya mwisho alikua anafanya kazi UDA Dar es salaam.mkewe alikua anafanya kazi UTUMISHI aliitwa VAISI.
 
katangaze gazetini au redioni utampata kirahisi zaidi mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom