Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,559
- 7,914
Namtafuta Bantu Lady hivi mme muona wapi ?
Mwambie ani DmZama pm kwake
Nani mwengine anamtafuta ?Naona kila mtu anamtafuta kwani huyo ndo maharage ya mbeya mwenyew (H₂O X 1) ?
She's taken.Namtafuta Bantu Lady hivi mme muona wapi ?
Ikazuka vita kubwa kati ya bantu lady na Shammy- 😅😅Bantu mivocha.
Nakumbuka alikua na challenge yake ya kumwaga mivocha ya kutosha kila siku, sikuwahi kuambulia hata siku moja.
Kuna dada anaitwa Hope urassa, yule alikua na speed ya vidole isiyo ya kawaida. Katika vocha 20 zitazowekwa, 15 anapita nazo yeye. Alafu alikua halali, hata vocha ziwekwe saa tisa usiku yumoo
Watu walianza wivu tukakosa vocha za tajiri Bantu ladyIkazuka vita kubwa kati ya bantu lady na Shammy- 😅😅
= She has been taken .She's taken.
Unampigaga vizinga 😄
Umejuaje 😂.Unampigaga vizinga 😄