Namtafuta baba yangu na ukoo wake

Namtafuta baba yangu na ukoo wake

kuna wadau wanaulizia asili ya mama yako, nayo hujui? inawezekana hujui kwa sababu ambazo pia sisi hatujui, hata hapo ulipokulia nao hawajui hata ukoo wa mama? nia yetu ni wewe upate msaada unaohitaji, ndo maana unaona kila mmoja ameguswa na uzi wako! hebu funguka kdg basi kwa unachofahamu kuhusu mama make umeshasema kuhusu baba hujui lolote zaidi ya jina, ingawa pia hata hilo jina utakuwa umesikia kama si kwa aliyekulea basi mama, that means walau ulikuwa na uelewa flani wakati wa uhai wa mama
Mama yangu alikuwa ni mfipa lakin kwa kumbu kumbu zangu cjawah kusikia kama ameishi sumbawanga zahid ya kwenda kusalimia na kurudi.. na hapo hapo alikuwa mtumishi wa serikal kuptia askar magereza.. na ktu kingine ninachofaham kuhusu ukoo wa mama angu n kuwa hakuna ukaribu kila mtu anaishi kivyake na familia yake
 
Tatizo husemi mama yako aliishi wapi yaani mji kama alikuwa magereza ni yapi? Humaliizi sentensi ndo maana watu tunakuuliza sana.
 
nakuombea umpate jamani..mi mwenyewe nlihangaika nkaeka na bandiko humu.nkaenda hadi fb na insta but nliambulia kujua asili ya surname yake ni uchagani huko.wengi hawamjui.ila ntaendelea
Polee sana mkuu..
 
Aisee ww ni ndg yangu upande wa mama yako ..story nilizo wahi kusikia ni mzee wako hakuwa mtanzania ...muulizie mjomba Evance hapo simike mbeya ...babu yako si mzee Zakaria Mangazini ?? Asili ya akina babu ni milepa huko mtowisa ...au muulizie mama yako mkubwa Leocadia zakaria mangazini yupo maeneo ya ubungo kibangu dar...najua anamjua huyo baba yako na asili yake ni wapi ...pole sana mdogo wangu
Atleast umempa mwangaza kidogo
 
Kama atakuwa ni ndugu yako nahisi unamfahamu hata sura yake, je upo tayari kuonana nae na kumsaidia kuyajua anayotaka kujua?

Na kwanini ukoo wa mama yake mko hivyo, mna majibu ila hamtaki hamjue baba yake hadi aje kuuliza kweye mtandao?
 
Aisee ww ni ndg yangu upande wa mama yako ..story nilizo wahi kusikia ni mzee wako hakuwa mtanzania ...muulizie mjomba Evance hapo simike mbeya ...babu yako si mzee Zakaria Mangazini ?? Asili ya akina babu ni milepa huko mtowisa ...au muulizie mama yako mkubwa Leocadia zakaria mangazini yupo maeneo ya ubungo kibangu dar...najua anamjua huyo baba yako na asili yake ni wapi ...pole sana mdogo wangu
Haya malizana na huyu...
 
Fanya kitu kimoja nenda sehemu uliko zaliwa/alipokuwa anafanyakazi mama then utapata detail zote maana naamini huko utawapata marafiki wa mama wao ni rahisi kumfahamu baba yako
Nmeenda kufika nmekuta watu wengi wapya wengne nimewasahau yan purukushan hadi basi..lakin sahiv mim nimeamia mby alipozikwa mama labda ndio nitaendelea kufuatilia taratibu kuhusu mama
 
Aisee ww ni ndg yangu upande wa mama yako ..story nilizo wahi kusikia ni mzee wako hakuwa mtanzania ...muulizie mjomba Evance hapo simike mbeya ...babu yako si mzee Zakaria Mangazini ?? Asili ya akina babu ni milepa huko mtowisa ...au muulizie mama yako mkubwa Leocadia zakaria mangazini yupo maeneo ya ubungo kibangu dar...najua anamjua huyo baba yako na asili yake ni wapi ...pole sana mdogo wangu
Naomba iwe kweli mkuu
 
nakuombea umpate jamani..mi mwenyewe nlihangaika nkaeka na bandiko humu.nkaenda hadi fb na insta but nliambulia kujua asili ya surname yake ni uchagani huko.wengi hawamjui.ila ntaendelea
Utampata tu sema inabidi kina mama tuwe tunaweka kumbukumbu za wazazi sehemu na kuziacha hata kwa ndugu kuepusha hii hali
 
Aisee ww ni ndg yangu upande wa mama yako ..story nilizo wahi kusikia ni mzee wako hakuwa mtanzania ...muulizie mjomba Evance hapo simike mbeya ...babu yako si mzee Zakaria Mangazini ?? Asili ya akina babu ni milepa huko mtowisa ...au muulizie mama yako mkubwa Leocadia zakaria mangazini yupo maeneo ya ubungo kibangu dar...najua anamjua huyo baba yako na asili yake ni wapi ...pole sana mdogo wangu

Hii umeiona lkn yamadonga
 
madingi co watu wa kuwatafuta kama humjui piga kimya unaweza kukutana nae aka kukataa kinoma noma afu ukaumia zaidi
Na mim namtamfuta sio kwa ajil ya msaada wake wala nin.. shida yang nimjue tu kama kuumia nimeshaumia sana na n hal nilio izowea kwa mda mrefu sana na ninazid kupambana nayo
 
Back
Top Bottom