Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Dah ungekuwa unajua detail zake hata kidogo ingekuwa rahisi mama yako ni mwenyeji wa wapi?24 sahiv, sifaham kabisa asili yake n wap..
Dah ungekuwa unajua detail zake hata kidogo ingekuwa rahisi mama yako ni mwenyeji wa wapi?24 sahiv, sifaham kabisa asili yake n wap..
ndgu taarifa hazijitoshelez mbona,jalibu kuorodhesha yafuatayo
taalifa za mama
i.yy aliitwa nan
ii.kabila gan na alikuwa mkaz wa wap
iii.alikwambia alikutana wap na baba yako
iv.marafik wa mama yako ambao baba yako anaeza kuwa anawafaham
v.mama alikuwa na mwonekano gan na haiba gani
taarifa za baba pia angalau weka
i.kabila lake
ii.mama kakwambia baba alipendelea maeneo gan hapa tz
iii.baba alikuwa anajishughulisha na kaz gan
iv.alikwambia baba anaonekana vp
v.taja angalau rafk yyte wa baba ambaye mama alikwambia iki kama baba hayupo angalau rafiki akupeleke ukaone kaburi na ufaham ndguzo
vi.waliishi wap na je mama aliwah kukwambia kwann baba aliondoka!!!
mungu akutangulie katika juhudi zako za kutafta ndguzo
Asant sana mkuu.. na mim shida yang kubwa nataka nijue kulikuwa na ktu gan na nielewe mim n na ni,, asili yang ni hipi mkuu..Pole ndugu....umeonesha nia kutafuta na kujua CHIMBUKO LAKO......Naomba wana JF kwa pamoja tukupe USHIRIKIANO wa kutosha.
Ni wachache wenye ujasiri kama wako. Nikiwa naamini pengine ni 30℅ ya watoto hukimbiwa na wazazi (Baba) wao.
Nashukuru sana mkuu.. nitaendelea kufuatiliaHuu Ukoo kama wakina Seselela upo sana South Africa.
Kwa hii mitandao utampata mkuu.
nitatengeza vp trial balance kama details kibao sina.mf areas incomes,expenses!advance payments na receipts ndio mana unapewa addtional informations na yy angetakiwa kupata hizo additional information kwa ndguze!..ukiona trial balance haiitaj additional information bhas jua hyo single entry ni ya kitoto,ndgu tatzo lake kubwa so trial balance yake lazma atupe addtional infoSasa angekuwa na majibu ya maswali yako unafikiri angeomba support. Umepewa single entry ni jukumu lako kutengeneza trial balance kwanza kabla ya kutoa final acc.
Kama unamsaada msaidie mwenzio.
Pole sana mkuuMwambie ainzie kwa saselela kongole wa TBC1 wenda akawa ndugu yake. Pole zake bora wakwangu alikufa.
Lipson ngwepe @seselela 4 Jun 2015Sante! Utampata tu mkuu.Pole sana mkuu
Ongeza ongeza nyama mkuu kwa mf. Baba/huo ukoo ni wenyeji wa wapi, mara ya mwisho wewe kusikia walikuwa mkoa gani??
nyama zakuongeza sina mkuu.. sijawahi kusikia chochote kuhusu wao.. maisha yang yote nimekulia ukoo wa mama yang
dhaa adi nimeshindwa kwenda chuo story yako imenitonesha bro
mungu akusaidie2 mungu wetu sote

Sawa sawa mkuu nitafanya hivyoUkifanikiwa Ukimpata utuletee mrejesho mkuu...nitafurahi kusikia hivyo..
Jaribu Ku google hilo jina![]()
nyama zakuongeza sina mkuu.. sijawahi kusikia chochote kuhusu wao.. maisha yang yote nimekulia ukoo wa mama yang
![]()
Lipson ngwepe
@seselela
Lipson ngwepe
@seselela
Joined April 2013
Tweets
- Tweets
- Tweets & replies
Duhh... hawa kina seselela inaoneka wako south huko. Uskute dingi yako alizamia huko akazaa tena huko. au katokea huko.
Lipson ngwepe @seselela 4 Jun 2015
Mojanji
0 replies1 retweet7 likes
Sasa angekuwa na majibu ya maswali yako unafikiri angeomba support. Umepewa single entry ni jukumu lako kutengeneza trial balance kwanza kabla ya kutoa final acc.
Kama unamsaada msaidie mwenzio.
Jaribu Ku google hilo jina