ndgu taarifa hazijitoshelez mbona,jalibu kuorodhesha yafuatayo
taalifa za mama
i.yy aliitwa nan
ii.kabila gan na alikuwa mkaz wa wap
iii.alikwambia alikutana wap na baba yako
iv.marafik wa mama yako ambao baba yako anaeza kuwa anawafaham
v.mama alikuwa na mwonekano gan na haiba gani
taarifa za baba pia angalau weka
i.kabila lake
ii.mama kakwambia baba alipendelea maeneo gan hapa tz
iii.baba alikuwa anajishughulisha na kaz gan
iv.alikwambia baba anaonekana vp
v.taja angalau rafk yyte wa baba ambaye mama alikwambia iki kama baba hayupo angalau rafiki akupeleke ukaone kaburi na ufaham ndguzo
vi.waliishi wap na je mama aliwah kukwambia kwann baba aliondoka!!!
mungu akutangulie katika juhudi zako za kutafta ndguzo