Namtafuta baba yangu mzazi

Hadi leo hawana mawasiliano na mimi nilipewa jina la baba mwingine.
Daah pole mkuu.
Nje ya mada kidogo ...
Haya mambo ndiyo yanayomfanya LIKUD ashauri watu wasioe single-mothers.

Huenda huyo baba uliyetumia jina lake alikupenda kama mwanawe wa damu akajitolea kukupa jina na maisha kwa kukulea vizuri kama mwanawe, leo hii umeona hapana lazima baba wa damu apewe kilicho chake.

Kama baba alikataa mimba kosa lake, kama baba hakuambiwa basi kosa la mama yako.
 
Sipati picha na mie nitakavyotafutwa baada ya miaka 20 ijayo na wanangu niliowaacha Mwanza (1), Morogoro (1) na Kigoma (1).

Mimi sina tatizo ila mama zao ndio wananinyima wanangu kisa eti nimewazalisha pasipo kuwaoa 😏
 
Lakini Umemuelewa vizuri?
Huyo dada yao kwakuwa amefanikiwa ndio maana hana mda na wadogo zake ila kama angepigika angewasaka wadogo zake popote walipo.
Tena yeye ndio mkubwa baada kuwasaka wadogo zake amesakwa yeye alafu bado kawapotezea.

Nadhan@Amu ndo kaandika vyema zaidi..Msome tena
 
Wewe haumanishi.
Una mahali pa kuanzia hasa huyo mfanyakazi wa tazara anaweza kukusaidia
 
Wewe haumanishi.
Una mahali pa kuanzia hasa huyo mfanyakazi wa tazara anaweza kukusaidia
Alikua anafanya kazi miaka hiyo ya 90 mwanzoni na mm siishi dar kwa miaka 27 sasa na sijawahi fika nampatia wapi?
 
Pole mkuu muulize mama yako kazi alokua anafanya dingii halafu kaanzie hapo utapata details
 
Unaweza kuwa sahihi kabisa, ila kwa nini mtoto apewe adhabu ya kosa asilolifanya?
 
Angekuwa si specialist mngemtafuta? Mlikuwa wapi siku zote kabla hajawa specialist?
Na kwa nini umchukulie kama specialist na uongelee financial status ya familia yenu?
Hawana njaa kali lakini katanguliza uspecialist! Masikini bwana! Familia wakamtafuta mbona baba yake asimtafute kabla hajawa specialist?
 
Pole epoda - Neema -. Nilikaa Goms na nilikuwa jirani tu na kwa Mbwambo na pia tulisali kanisa moja KKKT Ukonga. Ila na mimi nilihama Dar miaka 20 imepita sasa ila nina imani kuwa wapo wadau humu watakuwa wanafahamu. Kwa ushauri wangu labda isingekuwa vibaya kuanza na Mbwambo kupitia usharika wa Ukonga KKKT watajua details fulani zake. Kila la kheri.
 
Angekuwa si specialist mngemtafuta? Mlikuwa wapi siku zote kabla hajawa specialist?
Na kwa nini umchukulie kama specialist na uongelee financial status ya familia yenu?
Hawana njaa kali lakini katanguliza uspecialist! Masikini bwana! Familia wakamtafuta mbona baba yake asimtafute kabla hajawa specialist?
 
Hivi unamtafutaje mtu ambaye alikukimbia au kutekekeza kisa baba? Yaani ni kwa kuwa tu sikuwahi kuzaa nje ila kama ningekuwa nimetelekeza mtoto ukweli asinitafute maana sistahili kuitwa baba na mtoto ambaye sikumjali wala kumpenda. Wanaume tujikague maana jehanamu ni yetu.
 
Unaweza kuwa sahihi kabisa, ila kwa nini mtoto apewe adhabu ya kosa asilolifanya?
Kweli kabisa maana yeye hakuwa katika nafasi ya kuchagua azaliwe na mzazi gani au aitwe kwa jina la baba gani, n.k.
She is just another victim of the nature!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…