Nani anaweza kuwa disappointed kukutana na baba yake au una wasiwasi mzee Kalilo anaweza kumkataaKama alikuwa muuza duka siyo rahisi kumpata. Pia unaweza kumpata na ukawa disappointed vibaya sana. All in all jaribu ila usipompta usisikitike kwa kuwa bibi yako amekupa maisha, anzia hapo.
Sorrowful , Yaani Ukweli InategemeaHili lilimtokea rafiki yangu pindi alipompata alimkuta mshua yupo na mke na watoto wakubwa wale watoto na mama yao walimtimua kama mwizi walijua kumkalibisha kwake kungeleta matatizo kwenye mali
Yap! Mtoto hawezi kujuwa mazingira ambayo yalipelekea wazazi kutengana. Moja wapo ni hilo unamkuta mtu ana ku-ignore. Ndiyo maana kama amefikia umri wa 30+ asonge mbele tuNani anaweza kuwa disappointed kukutana na baba yake au una wasiwasi mzee Kalilo anaweza kumkataa
Amtafute kwanza akimpata atajua namna ya kureact atakayokutana nayo.Yap! Mtoto hawezi kujuwa mazingira ambayo yalipelekea wazazi kutengana. Moja wapo ni hilo unamkuta mtu ana ku-ignore. Ndiyo maana kama amefikia umri wa 30+ asonge mbele tu
Maisha hayapo hivyo mzee mwenyewe nimekua nikiwa naliona tuta la baba nje kwetu ukimuona mtu anamtafuta baba yake muheshimu sana wengine tunatamani hii fursa ila tunajikuta wazee 6 foot chini since tupo miezi nane.Me nakushauri achana nae kwanini yeye hakutafutii wewe ni mkubwa Sasa unapaswa kutulia na mume wako.
Sijawahi kwakua dunia kiganjan nimeona nimtafutie mtandaon hata kama yeye atakua hayupo humu bhas familia au watu wanaomfaham watamwambiaPole sana,umejaribu kwenda huko kahama?
Mungu akusaidie katika hiloNimejiapiza sitokuja kuzalisha mwanamke ambae sijamuoa kufanya hivyo ni kumuadhibu huyo mtoto
Amen bora umeongea kaka binafsi natamani hata nilione kaburi mtu hawez kuelewa maumivu ya mtu mwingine isipokua muhusika tu ndo anajua InshaAllah natumaini kama yupo bhas ipo siku nitamuona au kupata Habari zake za uhakika 🙏Maisha hayapo hivyo mzee mwenyewe nimekua nikiwa naliona tuta la baba nje kwetu ukimuona mtu anamtafuta baba yake muheshimu sana wengine tunatamani hii fursa ila tunajikuta wazee 6 foot since tupo miezi nane
Mleta mada hongera kwa kujitambua na kutamani kuijua asili Mungu atakusaidia umpate mzee ktk hali yoyote uendelee kumheshimu na kumthamini
🙏Mungu akusaidie umpate baba yako
SawaMtoto sio mali ya mzazi ila amepitia tu kwa mzazi
Yote sawa tu lakini natamani tu kumfahamu sijui hali yake kimaisha huenda naweza kua msaada kwake piaNani anaweza kuwa disappointed kukutana na baba yake au una wasiwasi mzee Kalilo anaweza kumkataa
Haja yako ikatimie in the name of …….AMEN NA IWE HIVYO🙏
Sio kweliMbona kama ukienda alipokua anafanyia kazi mama yako utampata huyu baba kirahisi sana kuliko mtandaoni?
Utampata tu ongeza juhudiYote sawa tu lakini natamani tu kumfahamu sijui hali yake kimaisha huenda naweza kua msaada kwake pia
Nawewe usirudie makosa ya mama ako itapendeza zaidiMungu akusaidie katika hilo