Mara ya mwisho alipita Arusha akielekea Sehemu inaitwa Ngaramtoni Ya Chini akiwa likizo. Alitujulisha kuwa huko ni kwa Shangazi yake. Taarifa ya ujauzito ni ya ukweli kabisa, maana alikataa kila tulichomwandalia, akaagiza mbilimbi toka kwa wamama wa kiarusha!