Kabla ya hapo amejuaje kama bado anatafuta kaziSasa umeachana naye 2016,,halafu umememtafutia kazi,,,una uhakika yuko hai?
Ni lazima umpe yeye hilo deal ?Nimempatia Temple anatakiwa kwa ajiri ya interview kanda ya ziwa
[emoji87] [emoji87] [emoji87]Sasa umeachana naye 2016,,halafu umememtafutia kazi,,,una uhakika yuko hai?
[emoji3]ndio hawa hupiga watoto mpaka kifoni mhitimu wa TTC huyo sijui atawafundisha nini watoto huko shuleni...!
Wengi watakuja inbox wakijifanya ni yeye!!!!Nimempatia Temple anatakiwa kwa ajiri ya interview kanda ya ziwa
walimu wa watoto wetu hao.Mkuu TEMPLE manake nini? Kwa nini unasema Umempatia TEMPLE ilhali anatakiwa kwa interview? Sema umemtafutia Interview ya Kazi!
Dah...kuna jamaa mmoja alikuwa mlinzi wa kura....labda anaweza kukusaidia...[emoji13]Habari wadau namfatuta huyu jamaa yangu anaitwa Alex Nanyalo alimaliza diploma course pale Marangu TTC mwaka 2016.Mara ya mwisho alikuwa anafundisha kituo cha Twishen pale Kaloleni Arusha centa.Tafadhari atae muona anipm
Sanamleta uzi upo shallow sana...
Mikataba yetu ya muda mpaka upitie usahili kwanzaMkuu TEMPLE manake nini? Kwa nini unasema Umempatia TEMPLE ilhali anatakiwa kwa interview? Sema umemtafutia Interview ya Kazi!
Mikataba yetu ya muda mpk upitie usaili kwanzaMkuu TEMPLE manake nini? Kwa nini unasema Umempatia TEMPLE ilhali anatakiwa kwa interview? Sema umemtafutia Interview ya Kazi!
TEMPO aka Temporary job.Mkuu TEMPLE manake nini? Kwa nini unasema Umempatia TEMPLE ilhali anatakiwa kwa interview? Sema umemtafutia Interview ya Kazi!
Swali la msingi zaidi😂😂Kabla ya hapo amejuaje kama bado anatafuta kazi
[emoji87] [emoji87] [emoji87]