Teh teh teh, nadhani nilisahau kuandika hapo kwamba namtafuta akiwa ameolewa au hajaolewa, yatosha tu nimwone. Wewe umejuaje kama huyo ni mke wa mtu?Unamtafuta mke wa mtu hadharani!!!??? Nyie watu, muambiwe mara ngapi ili muelewe kuwa wake za watu ni sumu????
muambiwe mara ngapi ili muelewe kuwa wake za watu ni sumu????
Unamtafuta mke wa mtu
hadharani!!!??? Nyie watu, muambiwe mara ngapi ili muelewe kuwa wake za
watu ni sumu????
Teh teh teh, nadhani nilisahau kuandika hapo kwamba namtafuta akiwa ameolewa au hajaolewa, yatosha tu nimwone. Wewe umejuaje kama huyo ni mke wa mtu?
kama ni sumu naomba nisaidie nyumbani hatulali panya wanasumbua.
kama ni sumu naomba nisaidie nyumbani hatulali panya wanasumbua.
labda anataka kuua panya
Unamtafuta mke wa mtu hadharani!!!??? Nyie watu, muambiwe mara ngapi ili muelewe kuwa wake za watu ni sumu????
Hahaha, thanks mkuu kwa kunisaidi japo kuimba. Naamini kwa kasi hii atapatikana tu!" Mkimwona Mwanayumba
Mwambieni bado nampendaa (mara 3)
Mwana afrodenzi
uko wapi
Sijui uko Uganda
Au uko mabiboo!
Sijui nani kamchanganyaa
Afrodenzi hayuko tena na mimi! "
Hivi Chege alichoimba kumbe kipo?
Msaidieni Mkimwona afrodenzi yulee pale mjulisheni
Wakati mimi namfahamu hakuwa ameolewa. Sasa kama mnasema ameolewa basi ni wazi kaamua kunitosa. Lakini haitoshi kwamba ameolewa. Nia yangu sasa ni kumwona tu, maana sili silali, moyo wangu wamuwaza yeye!Labda hana taarifa kuwa mume wa Afrodenzi kaamua kumficha mkewe baada ya kugundua kuna viserengeti vinamnyemelea