mwakajila
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 188
- 29
Jana katika kipindi cha kusikiliza mapendekezo ya bajeti Waziri wa Fedha alisema kazi za wasanii zitapitia kwenye mikono ya TRA hii ni hatua kubwa sana ya kuwaingiza hawa wasanii wetu kwenye wigo huu wa kodi ili nao wachangie katika Pato la Taifa Letu..Napenda kumshauri Mh.Waziri kwamba bado kuna hela wanazopata kwenye shoo zao nazo ni Muhimu katika kuchangia Pato la Taifa.
Nawasilisha.
Nawasilisha.