Duhhh.... kwa hiyo unataka kutufindisha kubaka?
Kweli wewe una mashetani
kwa kumshukuru shetani, umefanya jambo baya sana, batilisha maneno yako hayo, rudi kwa Mungu. usione kama sifa, hiyo nyumba na magari ni vitu vya kupita, sisi wengine tulishakuwa navyo hadi tumechoka, ni vitu vidogo sana, usione kama umefika ukamtukuza shetani kuliko Mungu. hata kama sisi wanadamu tu wadhaifu na tunatenda dhambi mara nyingi, hatutakiwi kumshukuru au kumwabudu shetani kwasababu Mungu anatusitiri kwa rehema na neema yake na bado anatupenda sana. I hope you will understand this!Aliendelea kutusimulia tulikuwa makini kumsikiliza mzee huyu ambae mafanikio ya maisha yalionekana kumfuata,
::
"Basi,niliendelea na huduma yangu ya uchungaji ktk kanisa dogo huko Geita,,barabara ya Katoro ipitiayo Kaduda.Nikiwa na mke ambaye hatukuwa tumejaliwa mtoto kwa miaka miwili mfululizo.Jambo hili halikunisumbua sana,niliamini Mungu atajibu kwa wakati wake!!
::
" Ilikuwa siku ya jumapili ya mwaka 1984 mwezi wa 12,,tarehe ya 24 jioni nikiendelea na maandalizi ya Ibaada ya siku usiku wa kuamkia Krismasi,,ni siku ambayo sitaisahau!!
" Nikiwa nimeukaribia mlango wa kanisa,nilimwona binti mzuri,mrembo akitembea kwenda si kwenda kurudi si kurudi,mwembamba wa haja,akitabasamu hakuna haja ya kuwasha taa,tabasamu lake lilitosha kuangaza kanisa lote!
"Sikumbuki hasa nini kilitokea,,nilishitushwa na mzee wa kanisa aliyeniokotea biblia yangu iliyodondoka chini pasipo kujua,,huku Macho yangu yakiusindikiza uumbaji wa Mungu ukizama kanisani kuabudu.
::
" Naam,,nilijikaza kiume na kuendesha ibaada na mwishoni wageni walijitambulisha na binti huyo,alijitambulisha kuwa ni Jesca,alikuwa anatokea Dar es salaam.
::
"Msema kweli mpenzi wa Mungu,nilimpenda na ajabu.Wazo likanijia,kwa nini nisimpate huyu binti? Mie nae mwanadamu!
Niliwaza nitampataje.
::
"Siku moja tarehe 25 siku ya ijumaa mwaka 1985 mwezi Januari,alikuja ofisini mwangu! Nilimkaribisha ndani na alianza kunieleza nia yake ya kutubu dhambi zake,,wakati anaendelea kutubu,,sikumsikiliza! bila kuchelewa,nilifunga mlango,na kwa nguvu za ajabu nilimdaka yule dada,nikamwingilia,sikujali kelele zake,nilimgeuza huku na kule,sikutaka uzembe!
"Loo! Shetani akiamua anaweza,,nilishituka watu nje wamejaa,kila mmoja akiwa na staili yake kushangazwa,kwa kuweka mikono,wengine kichwani,viunoni,usoni n.k Ilikuwa aibu..Niliburutwa,nikaitwa shetani,nikapigwa mawe.Na nikakimbia na kutoroka.
::
"Sikujali,nilikimbia na kuishi Musoma mtaa wa Buhare,si kama mchungaji bali fundi viatu ktk njia iendayo Majita..Mwaka 2005 nikiwa Musoma mjini mtaa wa Iringo nilikutana na Jesca akiwa na gari safi..ilikuwa ngumu kuamini,,alilia alinisimulia jinsi mtoto wangu anavyonitafuta.
::
Alinisimulia jinsi siku alivyorudi Dar kuepuka aibu,,na kuwa siku ile,alivyopata mimba na kuzaa mtoto wa kiume,akampa jina langu la William alivyoolewa na mswideni na jinsi William alivyosomeshwa na mzungu yule,mji wa Jokkmock Swideni.Mawasiliano yalifanyika mwaka 2007 nilikutana na William,alifanana na mimi kila kitu.Niliomba msamaha na Jesca bila kinyongo alinisamehe,alifanya juu chini wakaachana na mswidishi wake na mwaka 2008,,tuliamua kuishi kama wanandoa Mwanza,,Igoma
::
"Niliitwa shetani,nilidharauliwa na sasa mwanangu kijana miaka 27,anafanya kazi Swideni,amenijengea nyumba! amenipa gari nimesahau brushi na sindano za viatu.Kama haya aliyapanga shetani kama walivyoniita basi NAMSHUKURU SHETANI
=
kwa kumshukuru shetani, umefanya jambo baya sana, batilisha maneno yako hayo, rudi kwa Mungu. usione kama sifa, hiyo nyumba na magari ni vitu vya kupita, sisi wengine tulishakuwa navyo hadi tumechoka, ni vitu vidogo sana, usione kama umefika ukamtukuza shetani kuliko Mungu. hata kama sisi wanadamu tu wadhaifu na tunatenda dhambi mara nyingi, hatutakiwi kumshukuru au kumwabudu shetani kwasababu Mungu anatusitiri kwa rehema na neema yake na bado anatupenda sana. I hope you to understand this!
Endelea kumshukuru Shetani maana inaonekana wewe umejinasibu kuwa amekusaidia. Sijawahi kusikia Biblia au Quran zinasema kuna msaada kwa shetani zaidi ya laaana, kuwa makini kwa yale unayozungumza au kuandika manake yanaweza kuja kuwa kitanzi kwako.
Tetra umeleta tread nzuri tu, wapo wengi tu wana mambo ambayo leo tunawasifu kwa mafankio lakini wameyapata kwa Shetani tunawasifu na kuwainamia, na si hivyo tu wanatoa sadaka na wengine wanapata vitu vyao kwa devel na wao ni wachungaji ni maajenti wa shetan na wana waumini lukuki cha msingi hapa tuwe makini na imani zetu, imazi za kudakia hewani tuwe makini nazo. Taarifa ya habari ya leo inataarifu kuwa wanaoongoza kwa utajiri Nigeria ni wachungaji type ya mzee wa upako( mzee wa giza)wanaowadang'anya watu pandeni mbegu zitaota huku wao wakineemeka mashetani hao ati tuwe makini. Big up umefanya vizuri kuleta hiyo.
Baada ya hapo hukutubu na kumrudia mungu katika kazi ya uchungaji?
kweli shetani ana njia nyingi za kubomoa kanisa lake..
Aliendelea kutusimulia tulikuwa makini kumsikiliza mzee huyu ambae mafanikio ya maisha yalionekana kumfuata,
::
"Basi,niliendelea na huduma yangu ya uchungaji ktk kanisa dogo huko Geita,,barabara ya Katoro ipitiayo Kaduda.Nikiwa na mke ambaye hatukuwa tumejaliwa mtoto kwa miaka miwili mfululizo.Jambo hili halikunisumbua sana,niliamini Mungu atajibu kwa wakati wake!!
::
" Ilikuwa siku ya jumapili ya mwaka 1984 mwezi wa 12,,tarehe ya 24 jioni nikiendelea na maandalizi ya Ibaada ya siku usiku wa kuamkia Krismasi,,ni siku ambayo sitaisahau!!
" Nikiwa nimeukaribia mlango wa kanisa,nilimwona binti mzuri,mrembo akitembea kwenda si kwenda kurudi si kurudi,mwembamba wa haja,akitabasamu hakuna haja ya kuwasha taa,tabasamu lake lilitosha kuangaza kanisa lote!
"Sikumbuki hasa nini kilitokea,,nilishitushwa na mzee wa kanisa aliyeniokotea biblia yangu iliyodondoka chini pasipo kujua,,huku Macho yangu yakiusindikiza uumbaji wa Mungu ukizama kanisani kuabudu.
::
" Naam,,nilijikaza kiume na kuendesha ibaada na mwishoni wageni walijitambulisha na binti huyo,alijitambulisha kuwa ni Jesca,alikuwa anatokea Dar es salaam.
::
"Msema kweli mpenzi wa Mungu,nilimpenda na ajabu.Wazo likanijia,kwa nini nisimpate huyu binti? Mie nae mwanadamu!
Niliwaza nitampataje.
::
"Siku moja tarehe 25 siku ya ijumaa mwaka 1985 mwezi Januari,alikuja ofisini mwangu! Nilimkaribisha ndani na alianza kunieleza nia yake ya kutubu dhambi zake,,wakati anaendelea kutubu,,sikumsikiliza! bila kuchelewa,nilifunga mlango,na kwa nguvu za ajabu nilimdaka yule dada,nikamwingilia,sikujali kelele zake,nilimgeuza huku na kule,sikutaka uzembe!
"Loo! Shetani akiamua anaweza,,nilishituka watu nje wamejaa,kila mmoja akiwa na staili yake kushangazwa,kwa kuweka mikono,wengine kichwani,viunoni,usoni n.k Ilikuwa aibu..Niliburutwa,nikaitwa shetani,nikapigwa mawe.Na nikakimbia na kutoroka.
::
"Sikujali,nilikimbia na kuishi Musoma mtaa wa Buhare,si kama mchungaji bali fundi viatu ktk njia iendayo Majita..Mwaka 2005 nikiwa Musoma mjini mtaa wa Iringo nilikutana na Jesca akiwa na gari safi..ilikuwa ngumu kuamini,,alilia alinisimulia jinsi mtoto wangu anavyonitafuta.
::
Alinisimulia jinsi siku alivyorudi Dar kuepuka aibu,,na kuwa siku ile,alivyopata mimba na kuzaa mtoto wa kiume,akampa jina langu la William alivyoolewa na mswideni na jinsi William alivyosomeshwa na mzungu yule,mji wa Jokkmock Swideni.Mawasiliano yalifanyika mwaka 2007 nilikutana na William,alifanana na mimi kila kitu.Niliomba msamaha na Jesca bila kinyongo alinisamehe,alifanya juu chini wakaachana na mswidishi wake na mwaka 2008,,tuliamua kuishi kama wanandoa Mwanza,,Igoma
::
"Niliitwa shetani,nilidharauliwa na sasa mwanangu kijana miaka 27,anafanya kazi Swideni,amenijengea nyumba! amenipa gari nimesahau brushi na sindano za viatu.Kama haya aliyapanga shetani kama walivyoniita basi NAMSHUKURU SHETANI
=
::
Pole kwa kukukwaza Mie sie wakala wa shetani Namtumaini Mungu kwa imani na matendo.LAKINI kama ambavyo mzee Willy alivyotusimulia kisa chake cha maisha,,huku akisisitiza KUMSHUKURU SHETANI ndipo hata mimi nilivyojawa mashaka na kutafakari jinsi gani binadamu anaweza kukata tamaa kiasi hiki Ila umenipa jibu zuri uliposema"SHETANI ANAWEZA KUKUPA JARIBU ILI UMSUJUDIE"
::
Sikuleta thread hii,ili tushukuru upumbavu wake,,bali tuongeze umakini ktk kuzikimbia njia zake
TUJADILIANE JINSI YA KUKWEPA AKILI ZA HILA ZA SHETANI.
::
ALUTA CONTINUA lucifer hana lake.

Aliendelea kutusimulia
tulikuwa makini kumsikiliza mzee huyu ambae mafanikio ya maisha
yalionekana kumfuata,
::
"Basi,niliendelea na huduma yangu ya uchungaji ktk kanisa dogo huko
Geita,,barabara ya Katoro ipitiayo Kaduda.Nikiwa na mke ambaye hatukuwa
tumejaliwa mtoto kwa miaka miwili mfululizo.Jambo hili halikunisumbua
sana,niliamini Mungu atajibu kwa wakati wake!!
::
" Ilikuwa siku ya jumapili ya mwaka 1984 mwezi wa 12,,tarehe ya 24
jioni nikiendelea na maandalizi ya Ibaada ya siku usiku wa kuamkia
Krismasi,,ni siku ambayo sitaisahau!!
" Nikiwa nimeukaribia mlango wa kanisa,nilimwona binti mzuri,mrembo
akitembea kwenda si kwenda kurudi si kurudi,mwembamba wa
haja,akitabasamu hakuna haja ya kuwasha taa,tabasamu lake lilitosha
kuangaza kanisa lote!
"Sikumbuki hasa nini kilitokea,,nilishitushwa na mzee wa kanisa
aliyeniokotea biblia yangu iliyodondoka chini pasipo kujua,,huku Macho
yangu yakiusindikiza uumbaji wa Mungu ukizama kanisani kuabudu.
::
" Naam,,nilijikaza kiume na kuendesha ibaada na mwishoni wageni
walijitambulisha na binti huyo,alijitambulisha kuwa ni Jesca,alikuwa
anatokea Dar es salaam.
::
"Msema kweli mpenzi wa Mungu,nilimpenda na ajabu.Wazo likanijia,kwa nini
nisimpate huyu binti? Mie nae mwanadamu!
Niliwaza nitampataje.
::
"Siku moja tarehe 25 siku ya ijumaa mwaka 1985 mwezi Januari,alikuja
ofisini mwangu! Nilimkaribisha ndani na alianza kunieleza nia yake ya
kutubu dhambi zake,,wakati anaendelea kutubu,,sikumsikiliza! bila
kuchelewa,nilifunga mlango,na kwa nguvu za ajabu nilimdaka yule
dada,nikamwingilia,sikujali kelele zake,nilimgeuza huku na kule,sikutaka
uzembe!
"Loo! Shetani akiamua anaweza,,nilishituka watu nje wamejaa,kila mmoja
akiwa na staili yake kushangazwa,kwa kuweka mikono,wengine
kichwani,viunoni,usoni n.k Ilikuwa aibu..Niliburutwa,nikaitwa
shetani,nikapigwa mawe.Na nikakimbia na kutoroka.
::
"Sikujali,nilikimbia na kuishi Musoma mtaa wa Buhare,si kama mchungaji
bali fundi viatu ktk njia iendayo Majita..Mwaka 2005 nikiwa Musoma mjini
mtaa wa Iringo nilikutana na Jesca akiwa na gari safi..ilikuwa ngumu
kuamini,,alilia alinisimulia jinsi mtoto wangu anavyonitafuta.
::
Alinisimulia jinsi siku alivyorudi Dar kuepuka aibu,,na kuwa siku
ile,alivyopata mimba na kuzaa mtoto wa kiume,akampa jina langu la
William alivyoolewa na mswideni na jinsi William alivyosomeshwa na
mzungu yule,mji wa Jokkmock Swideni.Mawasiliano yalifanyika mwaka 2007
nilikutana na William,alifanana na mimi kila kitu.Niliomba msamaha na
Jesca bila kinyongo alinisamehe,alifanya juu chini wakaachana na
mswidishi wake na mwaka 2008,,tuliamua kuishi kama wanandoa
Mwanza,,Igoma
::
"Niliitwa shetani,nilidharauliwa na sasa mwanangu kijana miaka
27,anafanya kazi Swideni,amenijengea nyumba! amenipa gari nimesahau
brushi na sindano za viatu.Kama haya aliyapanga shetani kama
walivyoniita basi NAMSHUKURU SHETANI
=