Namshukuru shetani

Namshukuru shetani

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
Aliendelea kutusimulia tulikuwa makini kumsikiliza mzee huyu ambae mafanikio ya maisha yalionekana kumfuata,
::
"Basi,niliendelea na huduma yangu ya uchungaji ktk kanisa dogo huko Geita,,barabara ya Katoro ipitiayo Kaduda.Nikiwa na mke ambaye hatukuwa tumejaliwa mtoto kwa miaka miwili mfululizo.Jambo hili halikunisumbua sana,niliamini Mungu atajibu kwa wakati wake!!
::
" Ilikuwa siku ya jumapili ya mwaka 1984 mwezi wa 12,,tarehe ya 24 jioni nikiendelea na maandalizi ya Ibaada ya siku usiku wa kuamkia Krismasi,,ni siku ambayo sitaisahau!!
" Nikiwa nimeukaribia mlango wa kanisa,nilimwona binti mzuri,mrembo akitembea kwenda si kwenda kurudi si kurudi,mwembamba wa haja,akitabasamu hakuna haja ya kuwasha taa,tabasamu lake lilitosha kuangaza kanisa lote!
"Sikumbuki hasa nini kilitokea,,nilishitushwa na mzee wa kanisa aliyeniokotea biblia yangu iliyodondoka chini pasipo kujua,,huku Macho yangu yakiusindikiza uumbaji wa Mungu ukizama kanisani kuabudu.
::
" Naam,,nilijikaza kiume na kuendesha ibaada na mwishoni wageni walijitambulisha na binti huyo,alijitambulisha kuwa ni Jesca,alikuwa anatokea Dar es salaam.
::
"Msema kweli mpenzi wa Mungu,nilimpenda na ajabu.Wazo likanijia,kwa nini nisimpate huyu binti? Mie nae mwanadamu!
Niliwaza nitampataje.
::
"Siku moja tarehe 25 siku ya ijumaa mwaka 1985 mwezi Januari,alikuja ofisini mwangu! Nilimkaribisha ndani na alianza kunieleza nia yake ya kutubu dhambi zake,,wakati anaendelea kutubu,,sikumsikiliza! bila kuchelewa,nilifunga mlango,na kwa nguvu za ajabu nilimdaka yule dada,nikamwingilia,sikujali kelele zake,nilimgeuza huku na kule,sikutaka uzembe!
"Loo! Shetani akiamua anaweza,,nilishituka watu nje wamejaa,kila mmoja akiwa na staili yake kushangazwa,kwa kuweka mikono,wengine kichwani,viunoni,usoni n.k Ilikuwa aibu..Niliburutwa,nikaitwa shetani,nikapigwa mawe.Na nikakimbia na kutoroka.
::
"Sikujali,nilikimbia na kuishi Musoma mtaa wa Buhare,si kama mchungaji bali fundi viatu ktk njia iendayo Majita..Mwaka 2005 nikiwa Musoma mjini mtaa wa Iringo nilikutana na Jesca akiwa na gari safi..ilikuwa ngumu kuamini,,alilia alinisimulia jinsi mtoto wangu anavyonitafuta.
::
Alinisimulia jinsi siku alivyorudi Dar kuepuka aibu,,na kuwa siku ile,alivyopata mimba na kuzaa mtoto wa kiume,akampa jina langu la William alivyoolewa na mswideni na jinsi William alivyosomeshwa na mzungu yule,mji wa Jokkmock Swideni.Mawasiliano yalifanyika mwaka 2007 nilikutana na William,alifanana na mimi kila kitu.Niliomba msamaha na Jesca bila kinyongo alinisamehe,alifanya juu chini wakaachana na mswidishi wake na mwaka 2008,,tuliamua kuishi kama wanandoa Mwanza,,Igoma
::
"Niliitwa shetani,nilidharauliwa na sasa mwanangu kijana miaka 27,anafanya kazi Swideni,amenijengea nyumba! amenipa gari nimesahau brushi na sindano za viatu.Kama haya aliyapanga shetani kama walivyoniita basi NAMSHUKURU SHETANI
=
 
I give you two options.

kuna vigezo gani kumshukuru shetani kama wewe siyo mtu wake? Katika masha kuna bahati. Na hakuna anayejua bahati yake ni nini na itakuja lini? Lakini pia shatani anaweza kukupa jaribu ili umsujudie.

REJEA

LUKA 4:1-13
1 Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani,
2 akijaribiwa na Ibilisi. Na siku hizo alikuwa hali kitu; hata zilipotimia, aliona njaa.
3 Ibilisi akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, liambie jiwe hili liwe mkate.
4 Yesu akamjibu, Imeandikwa ya kwamba mtu hataishi kwa mkate tu.
5 Akampandisha juu, akamwonyesha milki zote za ulimwengu kwa dakika moja.
6 Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari yake, kwa kuwa imo mikononi mwangu, nami humpa ye yote kama nipendavyo.
7 Basi, wewe ukisujudu mbele yangu yote yatakuwa yako
.
8 Yesu akajibu akamwambia, Imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.

9 Akamwongoza mpaka Yerusalemu, akamweka juu ya kinara cha hekalu, akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini;
10 kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde;
11 na ya kwamba,mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
12 Yesu akajibu akamwambia, Imenenwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.
13 Basi alipomaliza kila jaribu, Ibilisi akamwacha akaenda zake kwa muda.

KWA HIYO UAMUZI NI WAKO. HUO NI MFANO MMOJA TU WA JINSI SHETANI ANAVYOFANYA KAZI. USITUSHAWISHI KUMSHUKURU SHETANI. SHETANI NI SHETANI NA HANA LOLOTE KATIKA ULIMWENGU HUU AMBALO KWALO TWAPASWA KUMSHUKURU.

KUMBUKA KUWA SHIDA ZOTE TULIZONAZO KATIKA ULIMWERNGU HUU ZINATOKANA NA KIBURI CHA SHETANI KUTAKA KUJIFANANISHA NA MUNGU.

NIKIANGALIA KIPANDE HICHO CHA HADITHI NAJIFUNZA KUWA HIZO NI JITIHADA ZA SHETANI ZA KUTAKA KUABUDIWA NA KUSHUKURIWA NA SHETANI. THIS IS NON SENSE.

HATA SAISA MBOVU ZIANZOTUFANYA WATZ TUSHINDWE KUSIMAMIA HATA RASILIMALI ZETU NI JITIHADA ZA SHETANI KUATAFUTA WATU WA KUMWABUDU.

NINA HASIRA NA HII THREAD.

NGOJA NIENDE KAZINI NISIJE NIKAVUNJA KEYBOARD.
 
From hapo juu.

Option ya kwanza msimuliaji ni wakala wa shetani sawa na ile theluthi ya malaika aliowateka kule mbinguni alipoasi hapo zamani.

Option ya pili ni kuwa hiyo yaweza kuwa bahati tu sawa na mtu anayetembea njiani akaokota sh. 200 iliyodoshwa na mlevi. Ukifuatilia kwa kina unaweza kukuta huyo bibie ni pepo na siyo mwanadamu halisi. Time will tell.

Msisitizo:
Yawezekana ni kweli wewe ni shetani kama watanzania walivyokuita siku uliyobaka tena kanisani.
 
Pole kwa kukukwaza Mie sie wakala wa shetani Namtumaini Mungu kwa imani na matendo.LAKINI kama ambavyo mzee Willy alivyotusimulia kisa chake cha maisha,,huku akisisitiza KUMSHUKURU SHETANI ndipo hata mimi nilivyojawa mashaka na kutafakari jinsi gani binadamu anaweza kukata tamaa kiasi hiki Ila umenipa jibu zuri uliposema"SHETANI ANAWEZA KUKUPA JARIBU ILI UMSUJUDIE"
::
Sikuleta thread hii,ili tushukuru upumbavu wake,,bali tuongeze umakini ktk kuzikimbia njia zake
TUJADILIANE JINSI YA KUKWEPA AKILI ZA HILA ZA SHETANI.
::
ALUTA CONTINUA lucifer hana lake.
=
 
kama kweli wewe c shetani acha kuhamasisha watu kistail hiyo, no justification kwa maovu,ila dalili zinaonyesha kua ........................................................................................
 
Inashangaza jinsi wapendwa wa Mungu wanavyopenda kujifunza kupitia mifano ya uzuri tu wa kuvutia na kung'aa.Maisha tunayoishi yamejaa mitihani mingi inayowafanya waja wafikiri na kutenda vibaya na KUMKOSEA MOLA..Wakati wewe unapitia maisha ya wastara hasumbuki wapo ambao kila kukicha dunia kwao ni chungu na yenye kujaa utata wa maamuzi.
::
Ushauri wangu kwa Mzee William ulikuwa yeye AFANYE TOBA YA KUOMBA MSAMAHA KWA MUNGU na asiendee kushukuru uibilsi ambao mwisho wake si mwema.
 
Mh! Mchungaji kutamani hadi Bible inamdondoka, kujiuliza ni jinsi gani ungempata mrembo tena ukiwa kanisani, binti kaja tubu ukabaka tena ulikuwa mchungaji. Wewe hukuwa na wito wakuwa mchungaji kwani ulikuwa ni mchungaji wa mshahara tu, unatamani kondoo wako? ukamtafuna!! lol akakimbia, huyo alikuwa si mchungaji bali ni mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kiuchungaji, isitoshe hukuwa na Roho wa Mungu, na unatakiwa utubu hiyo dhambi la sivyo itakupeleka motoni, usijisifu kwa upuuzi ulioufanya bali unatakiwa utubu tena kwa machozi ukijutia kitendo kile ulichofanya na bado umevunja ndoa ya mswedish na kumchukua mkewe. Umeona haitoshi unajisifia upumbavu kwa kumshukuru lusifer baba wa uongo shauri yako usipotubu utahukumiwa wakati ndo huu, we endelea kumshukuru Joka, utaona matunda yake, Angalia usije pata laana kwa kumsahau Mungu -Yeremia 54.
 
Aliendelea kutusimulia tulikuwa makini kumsikiliza mzee huyu ambae mafanikio ya maisha yalionekana kumfuata,
::
"Basi,niliendelea na huduma yangu ya uchungaji ktk kanisa dogo huko Geita,,barabara ya Katoro ipitiayo Kaduda.Nikiwa na mke ambaye hatukuwa tumejaliwa mtoto kwa miaka miwili mfululizo.Jambo hili halikunisumbua sana,niliamini Mungu atajibu kwa wakati wake!!
::
" Ilikuwa siku ya jumapili ya mwaka 1984 mwezi wa 12,,tarehe ya 24 jioni nikiendelea na maandalizi ya Ibaada ya siku usiku wa kuamkia Krismasi,,ni siku ambayo sitaisahau!!
" Nikiwa nimeukaribia mlango wa kanisa,nilimwona binti mzuri,mrembo akitembea kwenda si kwenda kurudi si kurudi,mwembamba wa haja,akitabasamu hakuna haja ya kuwasha taa,tabasamu lake lilitosha kuangaza kanisa lote!
"Sikumbuki hasa nini kilitokea,,nilishitushwa na mzee wa kanisa aliyeniokotea biblia yangu iliyodondoka chini pasipo kujua,,huku Macho yangu yakiusindikiza uumbaji wa Mungu ukizama kanisani kuabudu.
::
" Naam,,nilijikaza kiume na kuendesha ibaada na mwishoni wageni walijitambulisha na binti huyo,alijitambulisha kuwa ni Jesca,alikuwa anatokea Dar es salaam.
::
"Msema kweli mpenzi wa Mungu,nilimpenda na ajabu.Wazo likanijia,kwa nini nisimpate huyu binti? Mie nae mwanadamu!
Niliwaza nitampataje.
::
"Siku moja tarehe 25 siku ya ijumaa mwaka 1985 mwezi Januari,alikuja ofisini mwangu! Nilimkaribisha ndani na alianza kunieleza nia yake ya kutubu dhambi zake,,wakati anaendelea kutubu,,sikumsikiliza! bila kuchelewa,nilifunga mlango,na kwa nguvu za ajabu nilimdaka yule dada,nikamwingilia,sikujali kelele zake,nilimgeuza huku na kule,sikutaka uzembe!
"Loo! Shetani akiamua anaweza,,nilishituka watu nje wamejaa,kila mmoja akiwa na staili yake kushangazwa,kwa kuweka mikono,wengine kichwani,viunoni,usoni n.k Ilikuwa aibu..Niliburutwa,nikaitwa shetani,nikapigwa mawe.Na nikakimbia na kutoroka.
::
"Sikujali,nilikimbia na kuishi Musoma mtaa wa Buhare,si kama mchungaji bali fundi viatu ktk njia iendayo Majita..Mwaka 2005 nikiwa Musoma mjini mtaa wa Iringo nilikutana na Jesca akiwa na gari safi..ilikuwa ngumu kuamini,,alilia alinisimulia jinsi mtoto wangu anavyonitafuta.
::
Alinisimulia jinsi siku alivyorudi Dar kuepuka aibu,,na kuwa siku ile,alivyopata mimba na kuzaa mtoto wa kiume,akampa jina langu la William alivyoolewa na mswideni na jinsi William alivyosomeshwa na mzungu yule,mji wa Jokkmock Swideni.Mawasiliano yalifanyika mwaka 2007 nilikutana na William,alifanana na mimi kila kitu.Niliomba msamaha na Jesca bila kinyongo alinisamehe,alifanya juu chini wakaachana na mswidishi wake na mwaka 2008,,tuliamua kuishi kama wanandoa Mwanza,,Igoma
::
"Niliitwa shetani,nilidharauliwa na sasa mwanangu kijana miaka 27,anafanya kazi Swideni,amenijengea nyumba! amenipa gari nimesahau brushi na sindano za viatu.Kama haya aliyapanga shetani kama walivyoniita basi NAMSHUKURU SHETANI
=

Hapa lazima shetani akukimbie, kwenye mambo kama haya shetani atakimbilia kwa Mungu na kumwambia, ee mola, hata mimi sijui binadamu huyu kapata wapi ujasiri wa kufanya alichofanya, mimi shetani sihusiki kabisa na matendo ya mwanadamu huyu".Istoshe shukurani zako nazo atazikataa, sijui utakimbilia wapi sasa?
 
From hapo juu.

Option ya kwanza msimuliaji ni wakala wa shetani sawa na ile theluthi ya malaika aliowateka kule mbinguni alipoasi hapo zamani.

Option ya pili ni kuwa hiyo yaweza kuwa bahati tu sawa na mtu anayetembea njiani akaokota sh. 200 iliyodoshwa na mlevi. Ukifuatilia kwa kina unaweza kukuta huyo bibie ni pepo na siyo mwanadamu halisi. Time will tell.

Msisitizo:
Yawezekana ni kweli wewe ni shetani kama watanzania walivyokuita siku uliyobaka tena kanisani.
ndio tatizo la humu jamvini kakwambia ni yeye mnajifanya mnamjua mungu mpaka mnajisahau yeye si kasimulia tu.
 
Back
Top Bottom