Mmmmmmh poleni sana mazee, Mungu ni mwema kweli, hamna budi kwenda kwa church mkatoe hata shukrani za pekee kwa makuu aliyowatendea, hio ilikuwa ajali mbaya sana na bila mkono wa Mungu basi kusingetoka mtu.Ushauri kwa wenzngu mnao endesha magari higway ni vema kuwa makini na mdereva wa malori na mabasi makubwa, ni vema mkae nao mbali sana na unapomuona anakuja mbele punguza mwendo kidogo maana huwa wanadharau sana magari madogo hawa majamaa, pia msisahau kufunga mikanda.