Namshukuru Mungu kuniumba Mwanaume Asante sana

Namshukuru Mungu kuniumba Mwanaume Asante sana

hujamaliza kufikiria bado,na
ukumbuke umezaliwa na mwanamke mwenye sura hiyo unayoiwaza,wakati mwingine ni busara kuacha kukoment kuliko kitu kama hiki. Usidhihaki uumbaji wa Mungu.sema astaqfirullah.
Astaghfirullahh...............
 
Kuna wakati binadumu huwa tunatafuta laana kutokana na maneno au maandishi yetu, laana kama hizi husumbua hadi vizazi visivyohusika na maneno yetu. Je hapa umemuweka mama yako, bibi yako, dada zako ?
 
Kuna wakati binadumu huwa tunatafuta laana kutokana na maneno au maandishi yetu, laana kama hizi husumbua hadi vizazi visivyohusika na maneno yetu. Je hapa umemuweka mama yako, bibi yako, dada zako ?

Ameomba radhi asamehewe,amefanya uungwana kujua kosa lake.Asamehewe bure 7*70.
 
Back
Top Bottom