suka chile
Member
- Feb 20, 2013
- 99
- 38
Nimejikuta nawaza sana hasa linapokuja swala la Mahusiano/Mapenzi naona wanawake wanapata shida sana wawe kwenye Ndoa ndo kabisa,Tunapopita Barabarani Usiku asilimia kubwa wanaojiuza ni wanawake, wanajiuza wakijua wanaume wapo watawanunua tu.
Samahani asha kumu si matusi kunako kitandani hapo ndipo balaa wa kupigwa makofi kwenye haya,Mwingine wakati wa tendo anatukanwa basi ili mladi Vurugu tupu.
Kwenye Mitandao ya kijamii ndo usiseme Picha zao za mikao ya ajabu ajabu ni nyingi sana N.k.
Wanaume tujiulize hivi tungekuwa wanawake tungekuwa wanawake wa namna gani? na Wanawake mjiulize mgekuwa wanaume mgekuwa wanaume wa namna Gani.
Narudia tena Nashukuru sana Kubahatika kuwa Mwanaume na pia najua Wanawake nao Baadhi yao wanashukuru kuumbwa Wanawake na kuna wengine wanapenda wangeumbwa wanaume kama walivyo wanaume wengine wanaopenda wangekuwa wanawake.