MartinDavid
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 874
- 145
Jamani hivi kweli mafisadi ni lowasa, chenge na rostam tuu??
Je mramba, wereme, zakia, mkapa, yona na rais mwenyewe jakaya.. Hawa wote ni mafisadi tu..
Nape nadhani ametolewa kafara na ccm ili aropoke tu na kudai wanajivua gamba... Ccm kujivua gamba ni ngumu sana kwani kimeshakufa siyo leo...
Na nape asipoangalia yatamkuta kama ya wenzie ambao wameropoka na ilipofika siku wakafa kabisa....