kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Hawezi kubali, tuna mfumo mbovu ambao siyo wa kuwajibikaNaunga mkono. Jaji Mkuu hawezi kutenganishwa na ubinyaji haki uliofanyika 2015-21. Ni sehemu ya ufedhuli huo. The same can be said about AG, Jaji Kaijage, Jaji Mutungi, Mahera, Ndugu-gay, IGP, na DPP aliyepandishwa cheo na kuwa Jaji. Lakini kama DPP alipandishwa cheo, unafikiri Jaji Mkuu ana sababu ya kujali?
Ajiuzulu kwa sababu ya mahakama kutenda haki au?
View attachment 1833426UHURU WA KUJIELEZA HUU
Na hii ndio ilifanya abambikiwe kesi ya madawa, style ya utawala wa MagufuliView attachment 1833426UHURU WA KUJIELEZA HUU
Angeshtakiwa kwa kosa hilo,kama kweli ni kosaView attachment 1833426UHURU WA KUJIELEZA HUU
Sio yeye peke yake. Hata IGP na Boss wa usalama wa Taifa kwa haya yanayo endelea wana takiwa waachie ngazi tupate watu wapya wasio na mawaa...Naunga mkono. Jaji Mkuu hawezi kutenganishwa na ubinyaji haki uliofanyika 2015-21. Ni sehemu ya ufedhuli huo. The same can be said about AG, Jaji Kaijage, Jaji Mutungi, Mahera, Ndugu-gay, IGP, na DPP aliyepandishwa cheo na kuwa Jaji. Lakini kama DPP alipandishwa cheo, unafikiri Jaji Mkuu ana sababu ya kujali?
Ulianza vizuri kwamba huyu jaji alikuwepo wakati watu wanaonewa na kubambikiwa kesi. Hivyo nakubaliana na wewe kwamba huyu ajiuzulu.Kwa kuwa mkuu wa muhimili wa mahakama Ni yule yule aliyekuwepo wakati watu wanaonewa na kubambikiwa kesi
Kwa hiyo hutaki haki inayo hubiriwa na awamu ya 6 iendelee kutendeka??? Why? Are you one of the Push Gang members?Muhimili huu ukiendelea kusikiliza serikali inataka nini na kutekeleza dhana ya separation of power haitakuwa na maana nchini.
Soma tena, hujaelewa hoja yake.Ajiuzulu kwa sababu ya mahakama kutenda haki au?
Mnapenda kuangushia jumba bovu kwa wenzenu..mbona wew hutukukuona hata sku1 ukiandamana kwenda ikulu kudai hO haki...au kukuona hata ukitoa maoni kwenye video ya kulaan uonevu huo?kwan we si ni raia wa Tz...?Point nzuri sana umetoa. Lakini hata akikataa kujiuzulu, tumejua wazi kwamba hana lolote kichwani, alikuwa bendera fuata upepo wa kuamrishwa. Ni mwanasheria very weak ambaye ametia aibu tasnia ya sheria. Kama alishinikizwa alipaswa kujiuzulu kulinda hadhi yake na kada ya sheria
Watu wa namna yake ndio wa kwanza kupigwa risasi hadharani mapinduzi yanapotokea kuondoa tawala dhalimu.