Mpaka leo bilabila. Uchawi wako feki kaoge tena kwa babu.Iko siku Ben ataitwa msaliti na msakatonge humu, wala sio mbali sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] overNakushauri wewe SIASA SIO MAPENZI
Umemaliza mkuu umenifanya niahirishe nililotaka kukomenthahahahaha....LENGO UNATAKA KUTUAMBIA KUWA UNAMJUA BEN...YAANI AMEKUJUA....NA MKAJUANA...kwa HIO UNAMPIGIA SIMU KWA MINAJILI YA "KUJUANA"
Sasa ushauri wangu kwenye siasa usiendekeze mapenzi
Bali siasa ni dili za kimapenzi kama ulizofanya!Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uaduai.
Zamani kidogo, niliwahi kuwa na rafiki, rafiki ambaye nilimuamini, nikafanya nae kazi kwa ukaribu na kumshirikisha katika mambo yangu mengi. Wakati mwingine Urafiki unazidi Undugu, ndivyo ilivyokuwa kwangu na rafiki yangu huyu, alikuwa kama ndugu au zaidi ya ndugu Kwangu.
Nilipokutana nae, nilitambulishwa kwake kuwa huyu ni "mwenzetu" nami nikamchukulia kuwa ni "mwenzangu" kwani sikuwahi kuishi kwa mitego mitego na ulaghai katika maisha yangu ya siasa, niliishi kwa misimamo na kuabudu nilichokiamini, nilikuwa hivyo na nipo hivyo.
Namzunguzia Ben Saanane, kama mwanaharakati, rafiki na ndugu yangu. Namjua kwa kiasi kikubwa, naijua hulka na tabia zake, nasikitika kukiri mbele ya jukwaa hili kuwa ndugu yangu huyu SI MTU WA KUAMINIKA, mwenye Kinyongo, anayependa UADUI na PURUKUSHANI.
Nimesikia anataka UBUNGE kwao ROMBO - TARAKEA, na ameenda katika sura yake ile ile ya UADUI, sura ya Purukushani na Kinyongo, lakini baya zaidi nililosikia na kunisikitisha ameanza kuchonganisha wenzake, kama ilivyo kawaida yake.
Naomba nikushauri kupitia jukwaa hili, maana simu yangu siku hizi haupokei (UADUI), SIASA haifanywi namna unavyotaka kufanya wakati mwingine siasa ni Upepo, fuata unavyovuma, Usishindane nao...hauwezi kushindana na Upepo ukaushinda...na SIASA sio UADUI.
UMENENA VYEMA NDG HAKA KAJAMAA KUNAKIPINDI KALIDANGANYA HAPA KATAHAMA CHAMA BAADA YA MASAA 72,, LAKINI MPAKA SASA KAMEKAA KIMYA...Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uaduai.
Zamani kidogo, niliwahi kuwa na rafiki, rafiki ambaye nilimuamini, nikafanya nae kazi kwa ukaribu na kumshirikisha katika mambo yangu mengi. Wakati mwingine Urafiki unazidi Undugu, ndivyo ilivyokuwa kwangu na rafiki yangu huyu, alikuwa kama ndugu au zaidi ya ndugu Kwangu.
Nilipokutana nae, nilitambulishwa kwake kuwa huyu ni "mwenzetu" nami nikamchukulia kuwa ni "mwenzangu" kwani sikuwahi kuishi kwa mitego mitego na ulaghai katika maisha yangu ya siasa, niliishi kwa misimamo na kuabudu nilichokiamini, nilikuwa hivyo na nipo hivyo.
Namzunguzia Ben Saanane, kama mwanaharakati, rafiki na ndugu yangu. Namjua kwa kiasi kikubwa, naijua hulka na tabia zake, nasikitika kukiri mbele ya jukwaa hili kuwa ndugu yangu huyu SI MTU WA KUAMINIKA, mwenye Kinyongo, anayependa UADUI na PURUKUSHANI.
Nimesikia anataka UBUNGE kwao ROMBO - TARAKEA, na ameenda katika sura yake ile ile ya UADUI, sura ya Purukushani na Kinyongo, lakini baya zaidi nililosikia na kunisikitisha ameanza kuchonganisha wenzake, kama ilivyo kawaida yake.
Naomba nikushauri kupitia jukwaa hili, maana simu yangu siku hizi haupokei (UADUI), SIASA haifanywi namna unavyotaka kufanya wakati mwingine siasa ni Upepo, fuata unavyovuma, Usishindane nao...hauwezi kushindana na Upepo ukaushinda...na SIASA sio UADUI.
Mkuu Nostradamme hebu jikumbushe ulisema nini hapa kuhusu mtu huyu, hivi ukitafutwa sasa kueleza ulimaanisha nini wakati uliandika, na nini kilichotokea utaweza kweli kujitetea na kuchomoka kuwa huusiki?.nasikitika wachangiaji wengi ni wapumbavu wenye silka za kibavicha.
ila BEN ni kijana MWENYE MATATIZO MAKUBWA YA KUTOAMINIKA.
amini nawaambia. hata FREEMAN MBOWE anaishi na huyu dogo kimagumashi
kumbe saanane yuko rombo anafanya siasa.Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uaduai.
Zamani kidogo, niliwahi kuwa na rafiki, rafiki ambaye nilimuamini, nikafanya nae kazi kwa ukaribu na kumshirikisha katika mambo yangu mengi. Wakati mwingine Urafiki unazidi Undugu, ndivyo ilivyokuwa kwangu na rafiki yangu huyu, alikuwa kama ndugu au zaidi ya ndugu Kwangu.
Nilipokutana nae, nilitambulishwa kwake kuwa huyu ni "mwenzetu" nami nikamchukulia kuwa ni "mwenzangu" kwani sikuwahi kuishi kwa mitego mitego na ulaghai katika maisha yangu ya siasa, niliishi kwa misimamo na kuabudu nilichokiamini, nilikuwa hivyo na nipo hivyo.
Namzunguzia Ben Saanane, kama mwanaharakati, rafiki na ndugu yangu. Namjua kwa kiasi kikubwa, naijua hulka na tabia zake, nasikitika kukiri mbele ya jukwaa hili kuwa ndugu yangu huyu SI MTU WA KUAMINIKA, mwenye Kinyongo, anayependa UADUI na PURUKUSHANI.
Nimesikia anataka UBUNGE kwao ROMBO - TARAKEA, na ameenda katika sura yake ile ile ya UADUI, sura ya Purukushani na Kinyongo, lakini baya zaidi nililosikia na kunisikitisha ameanza kuchonganisha wenzake, kama ilivyo kawaida yake.
Naomba nikushauri kupitia jukwaa hili, maana simu yangu siku hizi haupokei (UADUI), SIASA haifanywi namna unavyotaka kufanya wakati mwingine siasa ni Upepo, fuata unavyovuma, Usishindane nao...hauwezi kushindana na Upepo ukaushinda...na SIASA sio UADUI.
Pole sana!, laiti ungalijua!, ni level tuu ya uelewa!. Kuna watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, na kuna wanaosoma lakini hawaelewi!.Pascal Mayalla hivi Mtukufu alisema Mayala ni njaa kikwao?.Mkuu punguza kujikomba wewe unaheshimika kwa jamii
Hebu ngoja kukuche nirudie kukusoma tena maana nimeamka nazoPole sana!, laiti ungalijua!, ni level tuu ya uelewa!. Kuna watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, na kuna wanaosoma lakini hawaelewi!.
Paskali ni yule yule, juzi, jana na leo!.
P.