Unadai una msimamo na kuabudu unachokiamini lakini hapa chini unajipinga mwenyewe!!sikuwahi kuishi kwa mitego mitego na ulaghai katika maisha yangu ya siasa, niliishi kwa misimamo na kuabudu nilichokiamini, nilikuwa hivyo na nipo
Contradiction at its best!SIASA haifanywi namna unavyotaka kufanya wakati mwingine siasa ni Upepo, fuata unavyovuma, Usishindane nao...hauwezi kushindana na Upepo ukaushinda...na SIASA sio UADUI
haah haah hatari....
.....goli la wazi hilo hata kwa mkono unafunga hakuna refa
ugomvi huu hatuuweziNakushauri wewe SIASA SIO MAPENZI
haah haah hatari
Hivi mme wako akisikia unamuhulixia mwanaume mwingine wewe unajisikiaje?kabda umeolewa na kumfanya zezeta.
swissme
Duh! Enzi hizo mlikuwa nakula bata pale Land mark hotel leo yamekuwa hayo? Juliana Shonza ilinde ndoa yako plz!!
Nakushauri wewe SIASA SIO MAPENZI
Ha ha haa...yaani nimecheka vibaya sana leo!! Hizi siasa hizii...!! Pole sana Juliana umeingilia mlango mbovu, nakushauri siku nyingine ukitaka kumshauri X wako ingia MMU kule utapata support kubwa!!
Ila Ben namna hii sio bhanaaa hata simu jamani!!?? Aombaye msamaha husamehewa japo si lazima ku-resume!! Ha ha ha....