Namshauri Ayatollah Khamenei Jr. atoe fatwa dhidi ya Netanyahu na Trump

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,424
Kama wao wamesema watamsaka wamuue, kwanini naye asiwafanyie kama Ayatollah Khomeini did to Salman Rushdie? Jino kwa jino ili waonje ladha ya dawa yao waone utamu wake. Nimeudhika namna walivyoua mahululaini wa kiajemi. Poleni waamini na mnaongojea kufa na kupewa hao wadude. KKKKK. Naomba watumwa wa kambi hizi mbili za dini za kigeni ambao ni mods humu JF wasiue uzi wangu.
 
Fatwa/Fatwah zinatolewa kwa utaratibu, tayari Futwah ipo ile ya "Kuliangamiza na kuliondoa juu ya uso wa dunia taifa la Israel na Uzayuni".
Kwa upande wa Marekani Fatwah ni ile ile "Kuua au kuharibu mali za Marekani na washirika wake".

Ndio maana unaona mabomu yamepigwa kwa nchi za kiarabu zenye kambi za wamarekani. 😁

Fatwah hazitolewi kila siku kama ahadi za chama flani kikongwe. Fatwah moja inaweza kuishi kwa miaka mingi kama itikadi mpaka hapo maadui wa waislamu/uislamu watakapoweka silaha zao chini dhidi ya uislamu/waislamu.

Marekani sema ni msahaulifu, Osama aliua maelfu ya wamarekani ndani ya siku moja September 11. Kitendo cha asubuhi ile tulivu, cha ndege mbili zenye maelfu ya lita za mafuta, kujibamiza pale twin towers hatakaa asahau mmarekani.
 
Unaonekana unachanganya mambo kadhaa. Fatwa katika Uislamu ni maoni ya kisheria ya mwanazuoni juu ya jambo fulani, si lazima iwe wito wa vita au kuua.

Pia si sahihi kuzungumza kana kwamba kuna fatwa ya Waislamu wote dhidi ya Marekani au Israel. Matamko kama hayo mara nyingi hutolewa na makundi au watu wachache wenye misimamo ya kisiasa, na hayawakilishi Waislamu wote duniani.

Hata tukio la September 11 lililohusishwa na Osama bin Laden na Al-Qaeda lililaaniwa na wanazuoni na nchi nyingi za Kiislamu. Kwa hiyo ni vizuri kutenganisha kati ya mafundisho ya dini na vitendo vya makundi yenye ajenda zao.
 
Yupo Bunker Anaungurumia Ndani Kwa Ndani
Akija Nje Wahuni Wanaweza Kumuuwa Haraka
 
Fatwa/Fatwah zinatolewa kwa utaratibu, tayari Futwah ipo ile ya "Kuliangamiza na kuliondoa juu ya uso wa dunia taifa la Israel na Uzayuni".
Kwa upande wa Marekani Fatwah ni ile ile "Kuua au kuharibu mali za Marekani na washirika wake".

Ndio maana unaona mabomu yamepigwa kwa nchi za kiarabu zenye kambi za wamarekani.
 
Fatwa/Fatwah zinatolewa kwa utaratibu, tayari Futwah ipo ile ya "Kuliangamiza na kuliondoa juu ya uso wa dunia taifa la Israel na Uzayuni".
Kwa upande wa Marekani Fatwah ni ile ile "Kuua au kuharibu mali za Marekani na washirika wake".

Ndio maana unaona mabomu yamepigwa kwa nchi za kiarabu zenye kambi za wamarekani. 😁

Fatwah hazitolewi kila siku kama ahadi za chama flani kikongwe. Fatwah moja inaweza kuishi kwa miaka mingi kama itikadi mpaka hapo maadui wa waislamu/uislamu watakapoweka silaha zao chini dhidi ya uislamu/waislamu.

Marekani sema ni msahaulifu, Osama aliua maelfu ya wamarekani ndani ya siku moja September 11. Kitendo cha asubuhi ile tulivu, cha ndege mbili zenye maelfu ya lita za mafuta, kujibamiza pale twin towers hatakaa asahau mmarekani.
WTf
 
Mazungumzo ya kigaidi
 
Unaonekana unachanganya mambo kadhaa. Fatwa katika Uislamu ni maoni ya kisheria ya mwanazuoni juu ya jambo fulani, si lazima iwe wito wa vita au kuua.

Pia si sahihi kuzungumza kana kwamba kuna fatwa ya Waislamu wote dhidi ya Marekani au Israel. Matamko kama hayo mara nyingi hutolewa na makundi au watu wachache wenye misimamo ya kisiasa, na hayawakilishi Waislamu wote duniani.

Hata tukio la September 11 lililohusishwa na Osama bin Laden na Al-Qaeda lililaaniwa na wanazuoni na nchi nyingi za Kiislamu. Kwa hiyo ni vizuri kutenganisha kati ya mafundisho ya dini na vitendo vya makundi yenye ajenda zao.
[QUOTE="

Wewe ndio unachanganya mambo, mimi nakueleza kwamba Fatwah inayofuatwa na Iran na "Proxies" zake tayari ipo na ni hiyo hapo. Pia inaonekana hujui mambo mengi sana kuhusu Irani, Irani ndiye mfadhili wa nchi na hayo makundi unayoyasema. Irani ndie adui mkubwa wa Marekani na Israeli kuliko hata Urusi na Uchina, hayo makundi "proxies" zote sitaki kuzitaja, Irani hupo nyuma yake kwa fedha, mafunzo na silaha. USA, Israeli wapo kwenye vita na Iran toka mwaka 1979 baada ya Mapinduzi ya Irani na kuifanya Irani kuwa Islamic Republic. Wayahudi na Marekani hawalali usingizi kwa miaka mingi kwa ajili ya Iran, ndio maana kuna kila jitahada Iran isiwe na silaha vita za nyuklia wala advanced weapons, maana uwepo wa mataifa hayo mawili upo hatarini kwa Irani kuwa na advanced weapons. Irani apigwi bure, anapigwa sababu ni threat kwa mataifa hayo mawili na threat hiyo inakuja kiitikadi. Juzi umemsikia Trump anasema Mojtaba hakubaliki. 😁
Wanataka waue hiyo itikadi, wanataka Irani sio kuitawala, ila waue hiyo itikadi ambayo Khamenei alishafanikiwa kuijenga hapo Irani. Shida hapo Irani ni itikadi na huyo dogo Mojtaba wanasema ndio hatari kimsimamo bora hata baba yake Khamenei. Hapatapoa hapo Irani mpaka wamuue Mojtaba. Nyuklia inltaendelea kutengenezwa na Israeli itaendelea kutolala usingizi kama huuo Mojtaba ataendelea kuwepo hapo Irani.
Mossad na Israeli inafahamu vizuri kwamba, Irani akija kupata silaha na teknolojia basi taifa la Israeli litafutwa juu ya uso wa dunia. Sio propaganda ndio ukweli wa miaka mingi.
 
Back
Top Bottom