princessita
Member
- Aug 19, 2013
- 21
- 6
kwa kawaida mwanaume unayetaka akuoe huwezi kumvumilia hayo unless liwe lizombie.Sijaona cha kukufanya uwe dillema........kwasababu majibu ya kila swali unayo wewe................
what is so special about you hadi amuache huyo mwanamke kwa sababu zisizoeleweka........
Samahani lakini...etii wewe ni mhamiaji hapa tz?? ..uandishi mmmhhhAmemzalimsha mwanamke na mali kamlipia. Sasa hv anadai amtaki kwa sababu zisizo na kichwa wala mguu eti ananipenda mimi anataka tufanye maisha anioe licha ya hivyo.
Bado anawivu lukuki kwa huyo mama watoto wake kila kitu anampangia kufanya na mawasiliano yasioisha mwemwemwe mbona kama naibiwa mbona kama narubuniwa mie mbona kama nadanganywa au anataka kunitumia?kwa manufaa flani?
Wanajamvi saidia mimi niko dilema
shosti mjini hapa utakuta anawaza akimuacha kodi ya nyumba ataitoa wapi so inabidi afe na tai shingoni
kwa kawaida mwanaume unayetaka akuoe huwezi kumvumilia hayo unless liwe lizombie.
Amemzalimsha mwanamke na mali kamlipia. Sasa hv anadai amtaki kwa sababu zisizo na kichwa wala mguu eti ananipenda mimi anataka tufanye maisha anioe licha ya hivyo.
Bado anawivu lukuki kwa huyo mama watoto wake kila kitu anampangia kufanya na mawasiliano yasioisha mwemwemwe mbona kama naibiwa mbona kama narubuniwa mie mbona kama nadanganywa au anataka kunitumia?kwa manufaa flani?
Wanajamvi saidia mimi niko dilema
hapo ndipo unapojiuliza huyo mwanaume ulizaliwa nae kwamba akupe hizo dilema
kila kitu kiko wazi kuwa wewe hatakiwi otherwise unless asubiri alipiwe hiyo
kodi then akisanzue kimoja
..kimbia