yondosister
Member
- Mar 22, 2010
- 87
- 43
Inakuwaje mume wako wa ndoa anakunyima unyumba, yapata miezi miwili au wakati mwingine mwezi mmoja. Hata ukambembeleza anakataa.
Je nifanyeje. Nataka niachane naye asije niletea matatizo.
Ushauri please.
Je nifanyeje. Nataka niachane naye asije niletea matatizo.
Ushauri please.