nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
kiujumla tume ya uchaguzi haijawahi kuwa huru kamwe. kitendo cha rais kikwete kubadilisha watendaji wa tume wakati kampeni za uchaguzi zimekwisha aanza kinaondoa zana nzima ya uhuru wa tume.