twahil
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 4,100
- 2,796
UKIWA mtwambie watanzania kuwa mnajiandaa kukataa matokeo...kwa visingizio vya kijinga...kuwa tume wamepelekwa maafisa wapya...mbona hamkugoma kuingia kwenye uchaguzi kama mlijua tume sio huru?
Lubuva kaishatwambia tutapiga kura wenyewe na tutazihesabu wenyewe vituoni na kubandika....sasa hao makamishna wanatuhusu nini na watatuibia vipi kura...
Akili za mbowe zinaendana na kiwango cha elimu yake tumhurumie...