Hebu tuonyeshe hizo kasoro zilizokiukwa.?
Nyumbu at its' best.Si ndio alijitokeza pale akiwa ameshanunuliwa!
Mbowe anaposema kuanzia leo Tume haiko huru, huko nyuma ilikuwa huru.?
Nina shaka na uwezo wako wa kuelewa mambo
Nyumbu at its' best.
Hujafafanua sheria gani iyokiukwa inayolalamikiwa na Mbowe, Kwani Rais kuteua na kubadilisha wafanyakazi wa Tume ni kosa.Nina shaka na uwezo wako wa kuelewa mambo
Tume wakati wote imeundwa na raisi!
Kwanini Mbowe atake kuipangia tume nani awe mjumbe nani asiwe!
Ni tume ya taifa tu (NEC) iliyokosa Uhuru!
Yeye aseme ni tume ipi iliyomkata Slaa?
Je chadema iko huru?
Aache kujitia utakatifu asio kuwa nao!
Jiongeze. Dalili za uwazi na uwajibikaji kwa tume ya Taifa ta Uchaguzi zilianza kuonekana ktk uchaguzi huu kiasi wananchi tukaanza kuwa na imani na tume hiyo. Bila shaka kama una akili timamu na ziko active, utaona kuna tofauti kubwa ya kiutendaji. Kwa kifupi, Lubuva & Co ni tofauti na awali.
Kubadilishwa kwa wakurugenzi on eleventh hour kumeondoa ile chembe ya imani iliyoanza kujengeka katika mioyo yetu na hicho ndio kimempelekea Mh. Mbowe kusema alichosema. Sasa sijui kuna mada gani hapa ya kukutoa mishipa ya koo km mtu anayeomba kura kwa tiketi ya CCM!
Hujafafanua sheria gani iyokiukwa inayolalamikiwa na Mbowe, Kwani Rais kuteua na kubadilisha wafanyakazi wa Tume ni kosa.
Hata kama hao wafanyakazi ni Usalama wa taifa na wanajeshi, je sheria inamkataza Rais kuteua wafanyakazi toka kada hizo.
Mbowe mwenyewe analalamika lakini hasemi sheria gani imevunjwa.?
Kimsingi Mbowe anapenda sana kulalamika, lakini akumbuke kwamba alisema wamemchukua Lowasa kwani ndo anajua wizi wa ccm, mbona tena anatapatapa?
Na wao wataangaika sana, kwani Mwl.Nyerere aliwahi kuwambia kwamba ni vema wakatafuta nafasi za kutumikia wananchi kwa maana ya serikali/mitaa, udiwani na ubunge alafu wakishaaminiwa wapewe nchi, walipuuza ushauri wa baba wa taifa, huwezi kuwa na wabunge 27 kati ya majimbo 266, alafu unataka Urais, ni aibu sana, wangetumia nguvu nyingi kwenye ubunge na udiwani maana yake tungepata hiyo tume huru na sheria nyingi zingekaa vizuri na ndo shida ya watz, wao wamekomaa na Urais wakati wagombea wao tena walio wengi hawana fedha za kufanyia kampeni, kila siku wimbo wao ni tume ya uchaguzi.
Kweli katika hali ya kawaida utawapatia nchi watu ambao kila kukicha ugombana kwenye nafasi za majimbo? hii nafasi ya Urais bado haiwafai kabisa.
Mkuu sidhani kama watakuelewa zaidi ya kukuita ccm au umenunuliwa.!Kitu kinachonikera huku UKAWA ni mwiko kutoa mawazo...au maoni tofauti na ya kwao....wao wanatutaka wote tuwe na fikra na mawazo yanayofanana....jambo ambalo haliwezekani....
Wito wangu kwa wanamabadiliko ni kwamba tujifunze kusikia hata yale yasiyopendeza masikioni mwetu....kwani hiyo ndiyo demokrasia tunayoihubiri majukwaani......kinyume na hapo ni udikteta.....
Jiongeze. Dalili za uwazi na uwajibikaji kwa tume ya Taifa ta Uchaguzi zilianza kuonekana ktk uchaguzi huu kiasi wananchi tukaanza kuwa na imani na tume hiyo. Bila shaka kama una akili timamu na ziko active, utaona kuna tofauti kubwa ya kiutendaji. Kwa kifupi, Lubuva & Co ni tofauti na awali.
Kubadilishwa kwa wakurugenzi on eleventh hour kumeondoa ile chembe ya imani iliyoanza kujengeka katika mioyo yetu na hicho ndio kimempelekea Mh. Mbowe kusema alichosema. Sasa sijui kuna mada gani hapa ya kukutoa mishipa ya koo km mtu anayeomba kura kwa tiketi ya CCM!
"Kila mtanzania" ina maana ya "unanimous"Kikwete asidhani atasalimika kwa kuitumia Tume!
Kila Mtanzania anafahamu kuwa CCM inaondoka sasa!