Usipotoshe,alisema slaa kapumzika kidogo baadaye atatukuta tunaendelea. Tafsiri yake kwa waswahili ni likizoLaghai huyu hawezi kuaminiwa kwa lolote. Ni laghai huyuhuyu aliyeudanganya umma kwamba Dr Slaa kapewa likizo.
Post zote kwenye uzi huu zinamwongelea mbowe na ulaghai wake, wewe unakuja na habari ya kufikirika ya urais wa lowasa, kulikoni?! Nionyeshe ni wapi nimemtaja rais wako lowasa kwenye uzi huu.Umejidhalilisha sana! Hata kama ni chuki hii yako imepita kiwango! LOWASSA ndiye Rais wako baada ya KIKWETE! Taka usitake!
Kwa hii Tume ambayo Mbowe analalamika sio huru, kama anaamini atashinda kelele za nini kuhusu Tume ya Uchaguzi inayoundwa na Raisi.Umejidhalilisha sana! Hata kama ni chuki hii yako imepita kiwango! LOWASSA ndiye Rais wako baada ya KIKWETE! Taka usitake!
OK, hayo mapumziko kidogo yanakwisha lini?!Usipotoshe,alisema slaa kapumzika kidogo baadaye atatukuta tunaendelea. Tafsiri yake kwa waswahili ni likizo
Kamati kuu ya ccm ipo huru sana!Nyani haoni kundule hata kama linaachia uharo ovyo majukwaani.
Mheshimiwa Jaji mstaafu Lubuva tuthibitishie madai ya Ukawa kuwa tume yako ya uchaguzi imetawaliwa na maofisa wapya na askari jwtz waloteuliwa na Mh.Rais Kikwete.
Mzee Lubuva unapokaa kimya sisi wananchi tunayumbishwa na madai ya Ukawa na vyama vingine vya siasa ukizingatia kwamba wewe una utumishi uliotukuka,tuna imani na wewe.
Akihutubia wananchi wa Vunjo amesema Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC haiko huru kuanzia leo,baada ya baadhi ya watendaji kubadilishwa hivyo kuanzia sasa wananchi watambue Tume yao haiko huru.
Hivi kabla ya baadhi ya watendaji kubadilishwa Tume ilikuwa huru?
Ina maana miaka yote Tume ilikuwa huru Hadi leo watendaji walipobadilishwa ndio imekosa uhuru.?
Mh.Mbowe uache kutulaghai wananchi na kutuona hatuna uwezo wa kufikiri wala kuona kinachoendelea ndani ya siasa zetu.!
Wengi tunaelewa Tume haiko huru miaka yote , hivyo unaposema kuanzia leo, unawafanya wenye uelewa wazidi kukushangaa kwa misimamo na kauli zako zenye ukigeugeu.!
Nyani haoni kundule hata kama linaachia uharo ovyo majukwaani.
Ndiyo maana tunawaambia wakipata robo ya majimbo Tanganyika wafanye sherehe kubwa sana.Kimsingi Mbowe anapenda sana kulalamika, lakini akumbuke kwamba alisema wamemchukua Lowasa kwani ndo anajua wizi wa ccm, mbona tena anatapatapa?
Na wao wataangaika sana, kwani Mwl.Nyerere aliwahi kuwambia kwamba ni vema wakatafuta nafasi za kutumikia wananchi kwa maana ya serikali/mitaa, udiwani na ubunge alafu wakishaaminiwa wapewe nchi, walipuuza ushauri wa baba wa taifa, huwezi kuwa na wabunge 27 kati ya majimbo 266, alafu unataka Urais, ni aibu sana, wangetumia nguvu nyingi kwenye ubunge na udiwani maana yake tungepata hiyo tume huru na sheria nyingi zingekaa vizuri na ndo shida ya watz, wao wamekomaa na Urais wakati wagombea wao tena walio wengi hawana fedha za kufanyia kampeni, kila siku wimbo wao ni tume ya uchaguzi.
Kweli katika hali ya kawaida utawapatia nchi watu ambao kila kukicha ugombana kwenye nafasi za majimbo? hii nafasi ya Urais bado haiwafai kabisa.
OK, hayo mapumziko kidogo yanakwisha lini?!
Mkuu ushabiki upi, kuhoji kauli za kiongozi wangu zisizoeleweka, Sasa nitasimamia ninachokiamini vipi wakati anaeniaminisha mwenyewe haaminiki.?
Akihutubia wananchi wa Vunjo amesema Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC haiko huru kuanzia leo,baada ya baadhi ya watendaji kubadilishwa hivyo kuanzia sasa wananchi watambue Tume yao haiko huru.
Hivi kabla ya baadhi ya watendaji kubadilishwa Tume ilikuwa huru?
Ina maana miaka yote Tume ilikuwa huru Hadi leo watendaji walipobadilishwa ndio imekosa uhuru.?
Mh.Mbowe uache kutulaghai wananchi na kutuona hatuna uwezo wa kufikiri wala kuona kinachoendelea ndani ya siasa zetu.!
Wengi tunaelewa Tume haiko huru miaka yote , hivyo unaposema kuanzia leo, unawafanya wenye uelewa wazidi kukushangaa kwa misimamo na kauli zako zenye ukigeugeu.!
Mkuu huyu Mbowe ameshagundua wafuasi wake wengi hawana uwezo wa kuhoji kauli zake.Kimsingi Mbowe anapenda sana kulalamika, lakini akumbuke kwamba alisema wamemchukua Lowasa kwani ndo anajua wizi wa ccm, mbona tena anatapatapa?
Na wao wataangaika sana, kwani Mwl.Nyerere aliwahi kuwambia kwamba ni vema wakatafuta nafasi za kutumikia wananchi kwa maana ya serikali/mitaa, udiwani na ubunge alafu wakishaaminiwa wapewe nchi, walipuuza ushauri wa baba wa taifa, huwezi kuwa na wabunge 27 kati ya majimbo 266, alafu unataka Urais, ni aibu sana, wangetumia nguvu nyingi kwenye ubunge na udiwani maana yake tungepata hiyo tume huru na sheria nyingi zingekaa vizuri na ndo shida ya watz, wao wamekomaa na Urais wakati wagombea wao tena walio wengi hawana fedha za kufanyia kampeni, kila siku wimbo wao ni tume ya uchaguzi.
Kweli katika hali ya kawaida utawapatia nchi watu ambao kila kukicha ugombana kwenye nafasi za majimbo? hii nafasi ya Urais bado haiwafai kabisa.
Usipotoshe,alisema slaa kapumzika kidogo baadaye atatukuta tunaendelea. Tafsiri yake kwa waswahili ni likizo
Bahati nzuri kwako, kwangu mbaya sana.By the way! Huyo anayeachia uharo majukwaani kwa bahati nzuri yupo team yenu!
Mume wako alivyoshindwa 2010 alisema amekamata container la kura lilikuwa la futi ngapi vile?Mbowe anaposema kuanzia leo Tume haiko huru, huko nyuma ilikuwa huru.?
Akihutubia wananchi wa Vunjo amesema Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC haiko huru kuanzia leo,baada ya baadhi ya watendaji kubadilishwa hivyo kuanzia sasa wananchi watambue Tume yao haiko huru.
Hivi kabla ya baadhi ya watendaji kubadilishwa Tume ilikuwa huru?
Ina maana miaka yote Tume ilikuwa huru Hadi leo watendaji walipobadilishwa ndio imekosa uhuru.?
Mh.Mbowe uache kutulaghai wananchi na kutuona hatuna uwezo wa kufikiri wala kuona kinachoendelea ndani ya siasa zetu.!
Wengi tunaelewa Tume haiko huru miaka yote , hivyo unaposema kuanzia leo, unawafanya wenye uelewa wazidi kukushangaa kwa misimamo na kauli zako zenye ukigeugeu.!
Nyie ndio mnaomfanya Mbowe azidi kuonekana kituko mbele ya waelewa.1. Ajabu na wewe CCM unakiri kwamba tume haijawahi kuwa huru.
2. Acha kupotosha kwani haa na sisi wengine tumeona hiyo habari.....amesema tume imekuwa ni ya usalama i.e. wameondolewa watenaji wake na sasa wamewekwa watu wa usalama ili wajipange kuiba kura.
3. Hamtafanikiwa maCCM, this time tutawapiga chini...hamchomoki z