Namshangaa huyu MBWA

Mbwa wetu hapa kwetu karogwa ana karibisha wezi anafukuza wageni wema ..... Siku tunamnunua mbwa wetu alikua mkali sana . unajua nilimshawishi baba tumnunue kwasababu alituonesha demo atakavyo shughulika na wezi nawahalifu . huwezi amini mbwa wetu alipiga hadi careti huezi amin baba akamnunua jamani mbwa wetu kabadilika ghafla auseee
 
Yeye ni rais wa Tanzania na ni lulu ya Tanzania period! Wewe waza ya kwako na mimi ya kwangu, agreed to disagree, bye bye
 
Maneno yanaishi
 

 

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…