Namshangaa huyu MBWA

Mimi naona una hasira za kukosa unga ,viroba na kusumbuliwa na ulofa suluhisho ni Fanya Kazi!!!
 
Mimi naona una hasira za kukosa unga ,viroba na kusumbuliwa na ulofa suluhisho ni Fanya Kazi!!!
Bahat mbaya sijawahi kutumia hivyo vitu
Ila tu mbwa niliyemwamini ananiangusha
 
Wooh! Wooh! Jamani mbwa wenu huyu wooh wooh [emoji250] [emoji240] ..! Mbwa mwenyenyewe koko.

Wooh! Wooh! Jamani mbwa wenu huyu[emoji250] [emoji250] [emoji240]..! Mbwa mwenyenyewe koko.
 
duh, kweli dharau zinazidi! mmefikia kumfananisha raisi na mbwa😡!

HIli halifai kuungwa mkono hata kidogo, for whatever reason huu mfano sio stahiki kbs
 
Sasa kama mbwa katupiwa steki ya tako ya nyama ya ngamia na kaka jambazi mnataka ambwekee nani ?
 
duh, kweli dharau zinazidi! mmefikia kumfananisha raisi na mbwa😡!

HIli halifai kuungwa mkono hata kidogo, for whatever reason huu mfano sio stahiki kbs
Mimi toka mwanzo sikuwa nimeelewa hivi huyu wanaemwita mbwa ndie umemtaja wewe?
Duh basi watu wanahasira
 
Hahahaha hatumwachii ng'o! Lulu hii atuichezei chooni kamwe! Good evening!
Hiyo lulu ushawahi hata kuiona?! Ni lulu kwako.., ila ni muda utakaongea.
Wastaarabu wataelewa ila mnaohemkwa bila kufikiri hamjatambua kuwa mliingia chaka kuichagua hiyo lulu ambayo kwa wengine ni kama jiwe tu!!

Ila si kwa haya matendo na maamuzi ya kindumilakuwili!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…