Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,379
Kaka VUTA-NKUVUTE , masikio ya watanzania wote kwa sasa yapo kwa TINDU LISU, hata Uncle Magu yupo masikio wazi kusubiri Tindu ataongea nini, naona Tindu anaiendesha na kuisumbua Serikali sana
Ngoja atoe neno
Ngoja atoe neno