Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,911
Hata huyu si alikuwepo kwenye Baraza la Mawaziri? achana nao mkuu.Desperate situation demands desperate measures.
Sasa kwa yaliyofanyika awamu ile ya 3 & 4 utarudishaje fedha zilizoibiwa? Utakomeshaji uhuni na ufisadi uliokithiri toka Ikulu mpaka ofisi ya Kitongoji? Na kama utambana Karamagi, Chenge na Yona, je kwanini usimbane Mkapa na Kikwete?