Nampenda Tatty

Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,342
3,494
Nina miaka takribani 8 hapa JamiiForums nimejifunza mengi na nashukuru sana kuwa member hapa.

Nimekutana na baadhi ya watu na wengine tumefanya nao biashara bila usumbufu wowote. Kuna mwanamke humu jukwaa anaitwa tatty nimempenda sana kwa kweli.

Ni mzuri, mcheshi na mkarimu sana, ameniambia hata yeye ananipenda ila sijaamini na mbaya zaidi anasema ameolewa (nimeumia).

Natangaza rasmi kwamba nampenda sana na nipo tayari kwa lolote.

tatty naomba unijibu tafadhali maana PM sijaamini kwamba unanipenda kweli.

LOVE U SO BIG my gal.
 
KUMBUKA; Mke wa mtu sumu kama kweli kaolewa na kakuambia geuza upendo uwe wa agape faster, kaka na dada.
 
Nina miaka takribani 8 hapa JamiiForums nimejifunza mengi na nashukuru sana kuwa member hapa.

Nimekutana na baadhi ya watu na wengine tumefanya nao biashara bila usumbufu wowote. Kuna mwanamke humu jukwaa anaitwa tatty nimempenda sana kwa kweli.

Ni mzuri, mcheshi na mkarimu sana, ameniambia hata yeye ananipenda ila sijaamini na mbaya zaidi anasema ameolewa (nimeumia).

Natangaza rasmi kwamba nampenda sana na nipo tayari kwa lolote.

tatty naomba unijibu tafadhali maana PM sijaamini kwamba unanipenda kweli.

LOVE U SO BIG my gal.
Asante. Ila sidhani kama ni kweli upo tayari kwa lolote.
 
Back
Top Bottom