Nampenda tatizo ananibania penzi

Wana jf m nipo katika uhusiano na huyu mpenz sasa unaenda mwaka, tatizo lake n moja tu hatak kunipa penz.,kila nikimuambie kuhusu inshu hyo ya kuduu.' tunazinguana sana mashart anayonipa mi kama siyaelewi kabisa hiv utamsubiria mwanamke miaka nane bila kuduu hapa si napigwa changa tu ndugu sana..
mi nadhan huyo ni mfano wakuigwa hasa kwa wasichana..vijana wengi tunataka penz then baada ya penz wht nxt kama si kumpiga chin...kama unavitamaa vyako na umekaririshwa probably na hao unaowajua kwamba ukiwa gf ni lazima ku-do ndugu umepotea!! ila kama kwel unampenda hutajuta kungoja..na hapo ndo mtapata ndoa nzur na yenye upendo wa kwel!!!
 
je kabla ya kupost huu uzi ulijiuliza kama kwel UNAMPENDA!!???? nadhan kama kwel unampenda usingeweza andika u***a kama huu(red)
 
kwa utafiti niliofanya nimegundua wengi wanaobania penzi wanakuwa wanamtu pemben,ana kubania hivo ili uone anafaa zaidi kumbe hamna kitu,kama siyo bikira piga chini mwizi tu uyo anakupotezea time
 
Utakuwa unataka kumega na kusepa na yeye hapendi mtu achezee maisha yake! If you love her vumilia!
 
Siamini sana hiyo kitu....eti unamsubiri for 8 years????hizo tamthilia tuu..kibongobongo ningempiga chini....YAANI SIJUI IWEJE....au kama vp tafuta cha pembeni ili kitulize moyo wkt unaendelea kusubiri....MMH...:A S-baby::A S-baby:
 
..unapoanzisha project lazima uainishe malengo....wakati unaitimiza hiyo project unaangalia utimizwaji wa malengo hakuna dalili ya malengo kutimia unabadili strategy na kuangalia namna ya kutatua vizingiti vya kufikiwa malengo.....

Kama ku-do casually sio lengo kuu unaweza endelea na project wakati ukiendelea kutafuta njia za kufikia helo lengo la muda mfupi....mfano...

  • Tafuta wasaa wakuwa nae private kwako/kwake....
  • Outings zenye kuhamasisha na ku-set the mood
  • Tatu vunja ukimya ukitaka kujua haswa why?? usikute kitu bado sealed..
  • au ww ni 'small house' unatoa misaada mingine ya hisani lakini wahusika wakuu ndio wanafikia 'do' zone
 
mi nadhan huyo ni mfano wakuigwa hasa kwa wasichana..vijana wengi tunataka penz then baada ya penz wht nxt kama si kumpiga chin...kama unavitamaa vyako na umekaririshwa probably na hao unaowajua kwamba ukiwa gf ni lazima ku-do ndugu umepotea!! ila kama kwel unampenda hutajuta kungoja..na hapo ndo mtapata ndoa nzur na yenye upendo wa kwel!!!

hiyo haiingii akilin kabsa w unafkir jamaa akiwa na mzuka ataupoza wap na pia ukiona dem anagwaya kudo kw hof ya kuachwa bac co creative huyo, hata cku moja huwez kuachw kama una swaga za kumkosha partner wako
 
Wana jf m nipo katika uhusiano na huyu mpenz sasa unaenda mwaka, tatizo lake n moja tu hatak kunipa penz.,kila nikimuambie kuhusu inshu hyo ya kuduu.' tunazinguana sana mashart anayonipa mi kama siyaelewi kabisa hiv utamsubiria mwanamke miaka nane bila kuduu hapa si napigwa changa tu ndugu sana..

mkuu pole kwa kuingizwa mjini. qn1. je uyo gf wako ana age gani?,qn2. na wewe una age gani?.
mi siamini kama mpo above 18yrs aged, alafu mnazungiushana kiasi hicho. kuwa mjanja mkuu awapo unapigwa changa la macho that means mzigo unapigwa na jamaa mwingi we upo tu kwajili kuzugia. i-short unapoteza mda wako apo amna kitu no bikra wala kitanzi. chamuhimu fanya utafiti utagunduwa ukweli wake au alikuwa ana jamaa wameachana but still bado anampenda so anashindwa kugawa penzi kwa mtu mwingi. yangu+yako=concrete answer/solution

ni vizur ukawa mchunguzi vya kutosha ili kujilizisha kama ana malengo ya kwel,naamini anakudanganya anachunwa pembeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom