Nampenda sana, sipendi afanye kazi.

Ila we Lizzy ni kiboko. Mwabalishe huyo,kuna jamaa aligongewa mke wake huku akishuhudia pasipo kujua nini kinaendelea,mpaka baada ya game kuisha yule mke akamwambia nini kilikuwa kinaendelea pale,jamaa aliapa kutomchunga mkewe.

Atakuwa alipewa chroloform huyo.
 
humpendi. Umemwachisha kazi kwa sababu ya kutokujiamini kwako. Na kutokumwamini na kumthamini!
 
ila ninakushauri usiwe na wivu uliopitiliza ambao hauna maana coz maisha nikusaidiana sasa unapomuachisha kazi ndo solution? alafu kingine mtu mzima achungwagi hata kidogo,na pia inaonekana kuwa ww haujatulia hautaki mamaa ajue njia zako thus y unamwambia akae hom!

Huo wivu kwenu nyie hauna maana kwangu mi una maana kubwa sana.
 
Ya Mungu mengi, vp cku kwa bahati mbaya ukaachishwa kazi au kama ni mfanyabiashara mambo yakaenda ndivyo sivyo mtaishije bz for nw am sure hiyo kazi au whteva ndio inayokupa kiburi..
 
Hayo sio mapenzi, ni utumwa. Na ataliwa akiwa humohumo ndani
 
Ya Mungu mengi, vp cku kwa bahati mbaya ukaachishwa kazi au kama ni mfanyabiashara mambo yakaenda ndivyo sivyo mtaishije bz for nw am sure hiyo kazi au whteva ndio inayokupa kiburi..

Kwa nini mnapenda kufikiria mambo katika negative side? Always be positive.
 
LOVE is acceptable but OBSESSION is a madness with no cure. Humuonei huruma bali you are obsessed.
 
Back
Top Bottom