Nampenda sana Rubii..!

Mbwa dume

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
5,836
9,981
Habarini Bandugu bapendwa katika bwana.
Nashika kalamu na karatasi kuandika waraka huu huku mwanga wa kibatari changu ukinimulikia.

Sio siri nampenda sana huyu member anayefahamika kama rubii
Nimejaribu kumsahau lakini kila nikilala namwota.!

Nilishajaribu kumfuata Pm kumweleza dhumuni langu lakini alinitolea nje.!
Uvumilivu umenishinda nimeamua kuja hapa ili anayeweza kunisaidia kumpata basi amwambie kwamba nnampenda sana kuliko mzee yule anavyopenda kuangalia shilawadu.!

"Rubii ukinikubari mimi kamwe hutojutia kwani ntakupa kila utakacho,
Kama ni nyumba ya urithi ya mzee ntauza ili pesa yote nikupe wewe.!
Naamini utayapenda maisha yangu maana tangu niachane na ile kazi yangu ya zamani ya kuiba mafuta ya transfomer ambayo iliniingizia pesa kidogo,

Sasa hivi nimeamua kujiajiri kwa kuanzisha kampuni yangu binafsi inayohusika na uuzaji na usambazaji wa majeneza ya kisasa pamoja na vifaa vya kuzikia pia ujenzi wa makaburi.

Hivyo kwa sasa maisha yangu yameninyookea sana na mimi sio moja ya watu wanaolia eti hali ngumu kila siku mara pesa imebanaa!
Mie kila siku naingiza pesa hivyo njoo mama tuyajenge.

Wadau naomba mnisaidie kumshawishi huyu rubii anikubali maana sintomcheza bali ntamwoa jumla.! Nitashukuru iwapo nitafanikiwa ombi langu.
 
Watu mnajitoa sana naona umefall na fake ID ..Kila la kheri . Update muhimu aiseee
 
Habarini Bandugu bapendwa katika bwana.
Nashika kalamu na karatasi kuandika waraka huu huku mwanga wa kibatari changu ukinimulikia.
Sio siri nampenda sana huyu member anayefahamika kama rubii
Nimejaribu kumsahau lakini kila nikilala namwota.!
Nilishajaribu kumfuata Pm kumweleza dhumuni langu lakini alinitolea nje.!
Uvumilivu umenishinda nimeamua kuja hapa ili anayeweza kunisaidia kumpata basi amwambie kwamba nnampenda sana kuliko mzee yule anavyopenda kuangalia shilawadu.!
"Rubii ukinikubari mimi kamwe hutojutia kwani ntakupa kila utakacho,
Kama ni nyumba ya urithi ya mzee ntauza ili pesa yote nikupe wewe.!
Naamini utayapenda maisha yangu maana tangu niachane na ile kazi yangu ya zamani ya kuiba mafuta ya transfomer ambayo iliniingizia pesa kidogo,
Sa hivi nimeamua kujiajiri kwa kuanzisha kampuni yangu binafsi inayohusika na uuzaji na usambazaji wa majeneza ya kisasa pamoja na vifaa vya kuzikia pia ujenzi wa makaburi.
Hivyo kwa sasa maisha yangu yameninyookea sana na mimi sio moja ya watu wanaolia eti hali ngumu kila siku mara pesa imebanaa!
Mie kila siku naingiza pesa hivyo njoo mama tuyajenge.
Wadau naomba mnisaidie kumshawishi huyu rubii anikubali maana sintomcheza bali ntamwoa jumla.!
Ntashukuru iwapo ntafanikiwa ombi langu.

Ukija kukuta kumbe mwenye hiyo ID ni Baba yako Mzazi itakuwaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom