GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,533
- 127,537
Ukiona tu unaanzishiwa Uzi jua moja wapo kati ya yafuatayo......Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania 🇹🇿 nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia.View attachment 2963632View attachment 2963633
Si upendo wa kiuchafuchafu ngonoana hapana. Nampenda alivyo tuuu hata sijui alikosaga vipi kuwa miss namba moja miaka ile.
Halafu si alikuwa na umeme!! Usinambie kawasambazia na umeme wa REA 🤣Huyo huyo, mcheki pasco akupe mastori mambo yalivyokuwa yakifanyika, jamaa alikuwa anatoa udhamini ili awe karibu na warembo wakiwa kambini then anapoint mmoja ole wake akatae, hata top ten haingii
Typical msichana wa Dar! Mapozi, mapozi, eyes rolling na njonjo etc. Ujue sisi wasichana wa mikoani pozi tumejifunza ukubwani 😂Katika vyote napenda vile anavyoongea kama anabembeleza 😁, ana sauti ya utulivu na upole sana, haichoshi kumsikiliza
Typical msichana wa Dar! Mapozi, mapozi, eyes rolling na njonjo etc. Ujue sisi wasichana wa mikoani pozi tumejifunza ukubwani 😂
Fake P ni hii?2005 nkuwa darasa la 3hata nilkuwa naelewa basi😝
Sijawahi ichoka kutazama hii movie.A woman of principles
View attachment 2963631
Kipanya nae mambo mengi, lazima bidada aondokee.Chuma kilikuwa cha kipanya hiki walipendezana sana, sema jini mkata kamba hata alipotokea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nargis wanaume wengi wanampenda, bwanaangu mwenyewe anampenda Nargis [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vichaa wanazidi kujitokeza as time goes by..!!
Dh! Nafaka hahahahaephen_ usisikitike...
Pamoja na kwamba Nargis ni kisu lakini alichemsha kwenye kujibu maswali, Bahame alimzidi na yule mwingine namba 2 nimemsahau ngoja nitafute jina lake...
Ingawaje mamiss wa zamani Lundenga alikuwa anawachuja nafaka sana...
Kakomaa sura acha uongokuna yule mke wa profesa janabi ukimungalia unaweza dhani ni binti wa 95 kumbe kikongwe kabisa
mlete ata mwanamke wako mmoja tumlinganishe naye afu tuone nani kakomaaKakomaa sura acha uongo
Kusema amekomaa uso ndo kosamlete ata mwanamke wako mmoja tumlinganishe naye afu tuone nani kakomaa
Kusema amekomaa uso ndo kosa
Yule amekomaa uso kwa sababu ya umri
Ni kawaida binadamu kukomaa umri unapoenda
umewahi bahati ata kumuona live we punda au unabwaja bwaja apa
Kweli mdogo wangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
lugeMarehemu yupi? Machache au??