Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,412
- 9,786
Yaan ana misifa sana, sijawahi kumkubali toka akiwa Dadaz hadi sahivi Clouds.
JamaniππYaan ana misifa sana, sijawahi kumkubali toka akiwa Dadaz hadi sahivi Clouds.
Bhoke ni mtoto? Si ni mshangazi kabisa yulee.Bhoke Eggina ndio nikimkubali sana yule binti kwenye dadaz mtoto anadeka balaa
Wallah vile, πππJamaniππ
Namjua vzr tu simuelewagi aisee! Kipindi hajaolewa ndio kachumbiwa, kwenye dadaz kila mara mchumba wangu sijui anapenda hivi mara chumba lelelelee kuja kumuona harusiniπ€¦π½ββοΈWallah vile, πππ
Mfuatilie uone.
Na walizushaga amekufa sjui viliishia wapi namuona anafuturu zake serenaπBhoke ni mtoto? Si ni mshangazi kabisa yulee.
Khaaah
Umeona eeh, baada ya ndoa sasa, mda wote kujigamba na kuringisha Pete, hadi kuna siku Mwanne alimchana wazi aache ulimbukeni, kuna wenzake wako ndoani anniversary na jubilee zao, πππNamjua vzr tu simuelewagi aisee! Kipindi hajaolewa ndio kachumbiwa, kwenye dadaz kila mara mchumba wangu sijui anapenda hivi mara chumba lelelelee kuja kumuona harusiniπ€¦π½ββοΈ
Hana habari kwanza, yuko lele lele πππNa walizushaga amekufa sjui viliishia wapi namuona anafuturu zake serenaπ
Na lile para lakeπUmeona eeh, baada ya ndoa sasa, mda wote kujigamba na kuringisha Pete, hadi kuna siku Mwanne alimchana wazi aache ulimbukeni, kuna wenzake wako ndoani anniversary na jubilee zao, πππ
Mume wake mwenyewe wa kawaida tyuuh, wamepatana wa kufanana. Lol
ana tako pia mix hip Yuko Bomba sana najKweli ana miguu mizuri na rangi nzuri sana ila umri umesonga sanaπ€
Tuna ugonjwa tofauti mkuuπana tako pia mix hip Yuko Bomba sana naj
Aaah me nikiona mwenye hips alooh na msambwanda kiasi tuu π, nafwaaaTuna ugonjwa tofauti mkuuπ
Hapo sasa mxxxiiieeeeew!! πππNa lile para lakeπ
Mlongoo ππWallah vile, πππ
Mfuatilie uone.
AbeeeeMlongoo ππ
Wanaume watakupiga mawe unavoielezea pisi yenye kovu lake mkononi ila michambo na sifa ni zaidi ya waandishi wa bongoAbeeee