Niko kwenye wakati mgumu sana ninaempenda aniamini hata kdg akiona niko online iwe fb, whats app na mitandao mengine anachanganyikiwa kabisa kwamba nachat nawanaume nishamwelewesha lakini wapi ata akinipigia cm bahati mbaya nisipopokea nikimwelewesha aniamini anahisi vibaya muda wote nifanyeje? mbona mm simfatilii kiasi hicho na namwamini hata nimwone online simwazii baya llte y me? nisaidieni wadau maana nahisi kumpoteza kwani ananifanya sina amani kila wakati ananilalamikia tu na wakati sina mahusiano yyte mengine zaidi yake.