Yeah hii k2 ipo kbs sio peeke ako najua umu utashambuliwa km umekwapua cm kariakoo ila ukwl unabaki hii hali ipo akiwa mbali unamkosa akija una wish asepe wengine hadi kwny ndoa inawatokea vile unakuta mpwa kaoa ila daily tuko nae kaunta tunagonga mvinyo ukiuliza km shem kasafiri anakuambia yupo ila amechoka kua nae karibu,cheki na wataalam ujue tatizo ni nn ila kujibu swali lako ni kwl hii hali ipo tena sn wengine ndo vile unashindwa kuonyesha tu ila unarudi hm km unaenda ngome keko simply wanaume kwany hili tuko wawazi sn.